Ripota wa televisheni ya Urusi ya RT na mpiga picha wake walinusurika chupuchupu baada ya kombora la Israel kuanguka karibu yao

Ripota wa televisheni ya Urusi ya RT na mpiga picha wake walinusurika chupuchupu baada ya kombora la Israel kuanguka karibu yao

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ukisikia kila kazi inachangamoto yake ndio hii, na moja ya watu wanakutana na changamoto ni Waandishi wa Habari.
===========
Waandishi habari wakati mwingine hujikuta katika mazingira hatari wakati wakikuletea habari. Ripota wa televisheni ya Urusi ya RT na mpiga picha wake walinusurika chupuchupu baada ya kombora la Israel kuanguka karibu kabisa na mahali walikokuwa nchini Lebanon. Urusi imelaani shambulizi hilo la angani ikisema halikuwa “la bahati mbaya“. Israel inaendeleza mashambulizi yake ya angani na ardhini kusini mwa Lebanon.

Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari - CPJ inasema waandishi wa habari 129 na wafanyakazi wa vyombo vya habari waliuawa duniani kote mwaka wa 2025, ikiilaumu Israel kwa kusababisha theluthi mbili ya vifo hivyo.
 
Incoming 🚀

Itoshe kusema vita tuione tu kwa mitandao.
 
Back
Top Bottom