Ripoti Afya: Asilimia 76 ya watu wazima Tanzania hawapigi Mswaki

Ripoti Afya: Asilimia 76 ya watu wazima Tanzania hawapigi Mswaki

Asilimia 74 ya watanzania wote! Ndio report za mwendokasi hizi, sample gani ametumia kufikia conclusion ya utafiti wake huu?!
Hii na mm nimejiuliza sana, labda wameenda katavi huko
 
Sema Ni ulaji wa vyakula vya kisasa nowdays mkuu. Mababu walizeeka bila kugusa vyakula vya viwandani. Unakuta mtu akajibebea zake Azam mengo ama Ceres Tena ana feel proud wakati sie tulitafuna embe bichi mtini na likitoka utomvu kabisa.
Nilishuhudia mababu na miswaki ya miti.
Yaani badala ya kushauri watu waache wasile vyakula vinavyoletaga huu uozo wa meno.
Tukate mizizi na sio kukata matawi
Fahari nyingine ni cake
 
Labda huo utafiti wao wameufanya kwenye mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ndiko kwenye watu wengi waliooza meno kutokana madini yaliyomo kwenye maji.
 
Hawapigi mswaki au hawapigi mswaki vizuri?
Hoja ni kwamba hawapigi mswaki vizuri.Wizara iwakumbushe watu namna ya kupiga mswaki,sehemu za kukazania,muda wa kutumia,nguvu kiasi gani,dawa ya kusindikizia zoezi,mara ngapi kwa siku nk.Pia watoe maelekezo kwa waathirika wachukue hatua zipi.Liwe zoezi endelevu.
 
Tutumie Fedha Kidogo Kwenye Force Account
 
Ila kwa vijijin tunakula mamitoghoo ukilimaliza linakua kama brush.meno yanabaki meupeee
 
Back
Top Bottom