Hili jamaa ni puuzi! Magari ya serikali yalichomwa wapi huko?View attachment 3508599 Nadhani tumeshazoea kupika takwimu
Hawa jamaa wamechanganyikiwa. Wanadanganya kama watoto.View attachment 3508599 Nadhani tumeshazoea kupika takwimu
Hahahah dah umenikumbusha mbali sana.Mzee wa Trab na Trat ni kawaida yake. Kanjanja sana. Anyway, Guys guys!
Wanatafuta kupiga hela stuka. Watu hawana huruma yoyote hapo. MALIPO HEWAWanatafuta huruma duniani
Anaposema watu wamepoteza wapendwa wao kutangaza idadi ya vifo ni ku celebrate vifo vyao, je kwenye majanga mengine mbona idadi ya vifo hutajwa, ina maana majanga mengine ni ya kusherekea vifo vya wapendwa kwa kutaja idadi ya vifo? Kutaja ma properties haina uzito kwa kuwa kuna uwezokano wa kupatikana tena hizo properties, ishu kubwa hapo ni uhai wa watu kwanza.
Yaani Kiongozi ni mongo na uongo huzaa kutokuaminikaKuna mtu alienda mbele ya waandishi wa habari kutoa ripoti ya mali zilizoharibiwa kwenye maandamano ya October 29.. Mali hizo ni kama
Magari
Vituo vya mafuta
Nyumba
Miundombinu Mk
Licha ya kwamba ripoti hiyo inapingana kwa idadi na ripoti za awali hasa kwenye idadi ya vituo vya mafuta .. Sitalijadili hilo kwasasa
Kinacholeta ukakasi mkubwa kwenye hiyo ripoti ni mambo haya muhimu sana
1. Idadi vya vituo vya kupigia kura ambavyo vilivyomwa moto ama kuharibiwa
2. Idadi ya mabox ya kupigia kura na kura zake ambayo yalichomwa moto ama kuharibiwa
3. Idadi ya vifo
4. Idadi ya majeruhi
5. Idadi ya waliokamatwa na kuwekwa rumande
Je, kama idadi ya vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa na kuchomwa moto ingewekwa wazi ingeathiri ushindi mnono wa asilmia 98?
Na je idadi ya vifo na majeruhi?View attachment 3508598