Yaani ni muongo muongo, sasa sijui ana mfundisha nini junior
Yaani ni muongo muongo, sasa sijui ana mfundisha nini junior
Ila watu wanajua kufikiria. Viongozi wajitafakari sana wanazidiwa akili na wananchi wengi tu! Hawavitaji kwa sababu matokeo ya uchaguzi yatakosa uhakali!
View attachment 3508599 Nadhani tumeshazoea kupika takwimu
Leo nondo za Mr Habil zitachelewa maana wamezi burn account zote, wanahangaika kuzirejesha. Msione kimya tuombeeni vita ni kubwa.Hapo sasa. Bado wanataka kutupiga tena kwa kujilipa FIDIA HEWA. Mbona hawataki kuwalipa VIJANA wetu Rambirambi...!!?
Inaweza ikawa kweli office za CCM zilizochomwa moto zimehesabiwa kama mali za serikali 😅 .Guys hv ofisi ya ccm zilizoharibiwa zimetolewa takwimu?
Au na zenyewe zinaunganishwa kwenye zile za serikali?
Sina shaka watu waliouawa idadi wanaijua. Tatizo linakuja, namna ya kuwatamka. Hao, sio 'waliokufa' kama vile kwenye ajari, mafuriko, au majanga yoyote ya asili. Hawa lazima watamkwe "WALIO UWAWA'! Hilo neno na idadi, lngekuwa rahisi kutamkwa kama hayo mauaji yasingefanywa na vyombo vya dora!Vingechomwa vituo 672 nadhani nyumba nyingi zingeungua na moto pamoja na watu Nchi nzima ina vituo visivyozidi 800 vichomwe 672 si balaa hilo aisee..
Ndiyo maana hawa wote wanaoweka mbele hayo matakataka juu ya uhai wa waTanzania wote wanapaswa kuwajibishwaKuna mtu alienda mbele ya waandishi wa habari kutoa ripoti ya mali zilizoharibiwa kwenye maandamano ya October 29.. Mali hizo ni kama
Magari
Vituo vya mafuta
Nyumba
Miundombinu Mk
Licha ya kwamba ripoti hiyo inapingana kwa idadi na ripoti za awali hasa kwenye idadi ya vituo vya mafuta .. Sitalijadili hilo kwasasa
Kinacholeta ukakasi mkubwa kwenye hiyo ripoti ni mambo haya muhimu sana
1. Idadi vya vituo vya kupigia kura ambavyo vilivyomwa moto ama kuharibiwa
2. Idadi ya mabox ya kupigia kura na kura zake ambayo yalichomwa moto ama kuharibiwa
3. Idadi ya vifo
4. Idadi ya majeruhi
5. Idadi ya waliokamatwa na kuwekwa rumande
Je, kama idadi ya vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa na kuchomwa moto ingewekwa wazi ingeathiri ushindi mnono wa asilmia 98?
Na je idadi ya vifo na majeruhi?View attachment 3508598
Huyo Mwigulu ni sehemu ya tatizo kubwa ndani ya nchi hii.Yaani Kiongozi ni mongo na uongo huzaa kutokuaminika
View attachment 3508599 Nadhani tumeshazoea kupika takwimu