Ripoti batili ya vitu vilivyoharibiwa wakati wa maandamano

Lameck madelu kupitia genge lake la wahuni alimwagia Tesha Tindikali na kuwaangushia jumba bovu chadema ,Lameck Madelu alimtumia Ludovic kumbambikizia kesi ya Ugaidi Lwakatare.


Hizo Takwimu zake ni za kupikwa Lumumba.
 
Truth doesn’t change just because people deny it, and lies don’t become right just because they’re accepted.
 
Hapo sasa. Bado wanataka kutupiga tena kwa kujilipa FIDIA HEWA. Mbona hawataki kuwalipa VIJANA wetu Rambirambi...!!?
Leo nondo za Mr Habil zitachelewa maana wamezi burn account zote, wanahangaika kuzirejesha. Msione kimya tuombeeni vita ni kubwa.

Hawataki msikie ukweli, ccm wanavyojipa moyo utadhani utadhani January watafika vile 🤣🤣
 
Some people change the story so they don’t have to face what they did.

#Healing #Truth
 
Guys hv ofisi ya ccm zilizoharibiwa zimetolewa takwimu?
Au na zenyewe zinaunganishwa kwenye zile za serikali?
Inaweza ikawa kweli office za CCM zilizochomwa moto zimehesabiwa kama mali za serikali 😅 .
Hii Nchi inachezewa sana.
CCM washajipa hati miliki ya Nchi hii.

December 9 is around the corner 🔥
 
Vingechomwa vituo 672 nadhani nyumba nyingi zingeungua na moto pamoja na watu Nchi nzima ina vituo visivyozidi 800 vichomwe 672 si balaa hilo aisee..
 
Ni vituo vingapi vya kupiga kura viliaribiwa au kuchomwa moto na idadi ya vifo na majeruhi
 
Kimara hadi Magomeni vituo vya Mwendokasi havifiki 15 na zone hiyo ndio vituo vilichomwa moto huyu mpuuzi mwigulu Nchemba vituo 27 kavipata wapi!?
 
Vingechomwa vituo 672 nadhani nyumba nyingi zingeungua na moto pamoja na watu Nchi nzima ina vituo visivyozidi 800 vichomwe 672 si balaa hilo aisee..
Sina shaka watu waliouawa idadi wanaijua. Tatizo linakuja, namna ya kuwatamka. Hao, sio 'waliokufa' kama vile kwenye ajari, mafuriko, au majanga yoyote ya asili. Hawa lazima watamkwe "WALIO UWAWA'! Hilo neno na idadi, lngekuwa rahisi kutamkwa kama hayo mauaji yasingefanywa na vyombo vya dora!
 
Ndiyo maana hawa wote wanaoweka mbele hayo matakataka juu ya uhai wa waTanzania wote wanapaswa kuwajibishwa
Hawa ndio wahusika wa mauaji ya waTanzania
 
Yaani Kiongozi ni mongo na uongo huzaa kutokuaminika
Huyo Mwigulu ni sehemu ya tatizo kubwa ndani ya nchi hii.
Kawekwa nafasi hiyo baada ya kutumika kwenye nafasi aliyokuwepo mwanzo kama shukrani kwa aliyowezesha kufanyika ili Samia alazimishe kuwa kiongozi wa nchi hii bila ya matakwa ya waTanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…