Ripoti: Hatua kwa hatua hadi ndege ya Precision kuanguka ziwani

Ripoti: Hatua kwa hatua hadi ndege ya Precision kuanguka ziwani

Imenikumbusha report ya Escrow wakati wa Ludovick Uttoh…kuna page ukisoma ilikuwa inasema ule Mzigo ulikuwa wa Serikali na kuna page ilikuwa inasema ni mzigo wa kina Rugemalila na conclusion pia ikasema either wa Serikali or wa kina Seth

Chawa wa kila upande wakatumia report ya CAG kwa namna walivyopenda kutetea or kupopoa

Ha ha ha, tunafanyaje, maana report imetoka hakuna mjumuisho wa lawama
 
Ripoti itoke isitoke, ndege ilianguka tairi hazikuwa zimetoka na ikiwa imezima. Hili ni la eye witness wa 200m.
Wale ninaonaga kwenye kipindi cha Air crash investigation documentaries , Nat Geo Gold wangefika tusingepelekwa chaka hivi.
 
Ajari haiepukiki Wakati mwingine, Hiyo report INA mapungufu mengi, sana TATIZO KUBWA NI visibility au navigation aids za uwanja? MTU anauliza kama kuisiwa anaioona?, Europe snow NI issues kubwa Kwa vieanja vya ndege, lakini bado ndege zinatua salama, Captain huyo anauzoef WA kutosha kwani katymia huobuwanja mara nyingi, ingawa Leo hawako hai hawawez jitetea, ok black box na communication record zimeonyesha naongeza lakin tatizo la uwanja kuwa pasipo stahili sio jambo le Leo. Hizi ndege zote Tz zinatozwa ushuru Kwa ajiri ya miundo mbinu TENA utituli kwa serikali, lakini kuboresha miundo mbinu mpaka Wazir ajisikie, mmojawapo wa wakatiri wa uwanja wa Bukoba ni aliyekuwa Mbunge kipindi cha JKIKWETE ..Mzee S Kagasheki Pesa ya kujenga uwanja ilitolewa Lakin licha ya uwazir wake wakati ule hakagoma kuhamisha uwanja kisa Tu utapelekwa mbali na Jimbo lake, pia alishiriki kuharib miundo mbinu ya asili kama shule na barabarana eti anapanua uwanja, wakat tatizo ni millima na kisiwa kilichopo karibu. Sasa la msingi NI jibu la kutatua shida ya uwanja huo, Bukoba imekuwa na bahat Sana kila anayepata ubunge pale Bukoba mjini lazma awe Wazir lakin Hana TIJA ya kutumia NAFASI hiyo kuboresha. Nampenda Sana Spika WA sasa kaboresha Mbeya Kwa nafasi yake vizur Sana, nawasiwas hata KAGERA ikitoa spika anaweza asifanye chochote. KAGERA NI WAOGA SANA.
FB_IMG_1679333987511.jpg
FB_IMG_1678598237265.jpg
FB_IMG_1676009275635.jpg
 
Kuna kipindi nadhani ni nat geo ilikuwa ni US miaka hiyo ndege ilifumuka paa 😆 mhudumu mmoja alitupwa nje kwa upepo ila ndege ilifanikiwa kutua uwanjani na majeruhi na wachache nadhani kufariki
Hapa kwetu ndege nzima hali ya hewa tu imepoteza uhai wa watu japo ajali haiepukiki lakn inahuzunisha sana
 
Ila ndege inakimbia asee , Dar bukoba saa2 wakati gari hapo ni kukesha
Wakati fulani magari yanakesha pia kutokana na ubovu wa barabara, tochi barabarani, uchakavu wa hayo magari, ukosefu wa madereva makini, nk.

Ila bado spidi ya ndege itabakia kuwa juu ukilinganisha na ile ya gari.
 
Nilipomsikia Shujaa Majaliwa akisema alizuiwa kupasua kioo cha marubani, tayari nikajua lazima kuna issue haiko sawa.

First Officer Pilot and Captain wake lazima walikuwa na siri kubwa sana ya ajali husika.

Ama ndege ilikuwa ni mbovu au mafuta hayakuwa yanatosha. Otherwise, walilazimishwa kutua ili kuepuka gharama zaidi kurudi Mwanza.
 
Back
Top Bottom