Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8.
Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto wa Malkia, Princess Royal, ambaye alikuwa naye katika saa zake 24 za mwisho.
Kifo cha marehemu Queen kilisajiliwa Aberdeenshire tarehe 16 Septemba 2022, na leo cheti hicho kimewekwa wazi kwa umma.