Strong ladg
Senior Member
- Jul 15, 2021
- 170
- 445
Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi pamoja na uwezekano wa kila mbinu kutimiza lengo hilo.
Kilichonishtua zaidi ni kuona kwamba yale yaliyoandikwa humo yanatokea kwa sasa na yanafanyika kwa wazi mfano
1. Kuipa silaha za hatari nchi ya Ukraine
2. Kuongeza sapoti kwa waasi wa Syria
3. Kuchafua taswira ya Urusi kimataifa
4.Kuweka silaha hatari kwenye nchi zinazopakana na Urusi.
5. Kutumia vyombo vya habari kuchafua chaguzi za Urusi Ili zionekane hazifanyiki kwa haki.
6. Kuiwekea Urusi vikwazo vikali vya kiuchumi
7. Kudhibiti uwezo wa Urusi kuuza gesi yake kwa nchi za Ulaya ( hapa nikakumbuka kulipuliwa kwa bomba la Nordstream 2).n.k
In short mambo ni mengi na ukisoma hii ripoti itakufungua sana akili uone mambo yanayotokea duniani mfano vita, migogoro ya kisasa n.k si bahati kuna mipango madhubuti nyuma ya yote tunayoyaona. Na pia kuna mengi yanaendelea ambayo sisi hatuyajui.
Naweka link ya hiyo Ripoti lakini pia wewe mwenyewe unaweza kuingia Google ukatafuta Rand Corporation 2019.
"Overextending and Unbalancing Russia: Assessing the Impact of Cost-Imposing Options | RAND" https://www.rand.org/pubs/research_briefs/RB10014.html