son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Takriban ndege za kijeshi 81 za Marekani yameharibiwa kwenye operation epic fury .Inakadiriwa tangu august 1 madhara na hasara jeshi la usa waliyopata kwa kuharibiwa kwa ndege zake za kivita kufikia dolla billion 3.3.,
f 35A,f15, E 3 sentry ni miongoni mwa ndege vita za kisasa zilizoharibiwa kwenye vita dhidi ya iran.
f 35A,f15, E 3 sentry ni miongoni mwa ndege vita za kisasa zilizoharibiwa kwenye vita dhidi ya iran.
