son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Nadhani nchi za Ghuba zimegundua Sasa kuwa zile kambi za Marekani na mifumo yao ya gharama ya ulinzi wa anga walionunua haziwezi kuwalinda kwa asilimia 100 kama walivyoamini.Takriban ndege za kijeshi 81 za Marekani yameharibiwa kwenye operation epic fury .Inakadiriwa tangu august 1 madhara na hasara jeshi la usa waliyopata kwa kuharibiwa kwa ndege zake za kivita kufikia dolla billion 3.3.,
f 35A,f15, E 3 sentry ni miongoni mwa ndege vita za kisasa zilizoharibiwa kwenye vita dhidi ya iran.
Nadhani nchi za Ghuba zimegundua Sasa kuwa zile kambi za Marekani na mifumo yao ya gharama ya ulinzi wa anga walionunua haziwezi kuwalinda kwa asilimia 100 kama walivyoamini.
Nguruvi3 zitto junior
πππThere is no air defence system in the world which is 100% efficient and maybe out of ignorance many don't know about this.
ok.Takriban ndege za kijeshi 81 za Marekani yameharibiwa kwenye operation epic fury .Inakadiriwa tangu august 1 madhara na hasara jeshi la usa waliyopata kwa kuharibiwa kwa ndege zake za kivita kufikia dolla billion 3.3.,
f 35A,f15, E 3 sentry ni miongoni mwa ndege vita za kisasa zilizoharibiwa kwenye vita dhidi ya iran.