Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Hii itakuwa mwongozo mzuri sana kwa kulinganisha na huu uchakachuaji wa kipumbavu. Naungana na wale waliosema wangetamani kuwa ma sniper. Naamini ndicho dk waukweli na timu yake ndicho wanachofanya