Ripoti maalum: Kupotea kwa Ben Saanane

Ripoti maalum: Kupotea kwa Ben Saanane

I have a feeling that Ben is alive and safe
sijawahi kuamini kuwa Ben ni mwana chadema
I have a feeling yuko kozi na exit style yake pale chadema ilipangwa kuwa hivyo..baada ya kumaliza kazi
My heart never agreed kuwa huyu jamaa amefariki
cc GENTAMYCINE BAK mshana jr
Mhn! Inaweza ikawa “state of denial”

Jamaa alikuwa anamkosesha sana raha mkuu wa nchi kwenye madai kuhusu phd yake. Cheza na kitu kingine lakini siyo ego ya Magu
 
yani hawakuacha hata unyayo? untraceable? au ni kwakua hawakuruhusu uchunguzi wa vyombo vya ulinzi na usalama kutoka nje?

mara ya mwisho nilisikia kuwa mtandao wa simu aliokuwa akitumia hautoi ushirikiano..! kweli? au kuna maagizo kutoka kusiko julikana?

Mku si kwlei hakuna kitu inafanywa na mwenye zero kikashindwa kuacha trace, si uliona ya roma na ney ?
Sasa hili la saa nane trace zipo z akutosha inasemekan ila ndio vile hawataki kutoa ushirikiano.
 
....Baba mzazi anasema namba ya mwanawe ya voda wakiipiga imezuiwa ana maanisha nini?
 
Trace za Ben zipo za kutosha ni vile wenye Mamlaka hawataki..

Wakija independent investigator hata wiki haitaisha mahali Ben alipo au kama alishakufa itajulikana..

Ndio maana serikali hawataki wachunguzi huru..

Na ndicho CDM ambacho wamekuwa wakikipigania, waruhusiwe wachunguzi huru wa nje kama serikali haita aibika hapa..

Swali dogo.. Kwanini no ya simu ya Ben imekuwa BLOCKED na Vodacom?? Nani amewa instruct Vodacom kuiblock hii no na kutotoa mawasiliano ya mwisho ya Ben..?
 
Ila tuwe wa kweli na kuweka itikadi zetu za kisiasa pembeni.....Hivi kwanini CHADEMA hawalipi suala la UPOTEVU wa ben UZITO UNAOSTAHILI???
Hili liwe fundisho kwa nyie vijana humu ndani mnaotumiwa na CHADEMA siku mkipotea thamani yenu pia upotea....Mjifunze kupambna na hali zenu na si kutegemea migongo ya watu kujinufaisha
Kwanini tusianze na kulilaumu jeshi LA police kwa kutokutupa mrejesho wamefika wapi kwenye hili swala, maana wao ndiyo walinzi WA usalama WA raia na Mali zao, kaeni nae tu.
 
Andiko ' linaboa ' mno kulisoma achilia mbali tu kulielewa.
Atakapo potea mamako ndo utaelewa
Kwan hautakuja kuzaa subr malipo ni hapa hala Mungu yupo
Mtu amepotelewa na mtt wake w unakejeli eti
 
Huwa najiuliza maswali mangi sana kwenye swala la huyu kijana na majibu nashindwa kuyapata.

Nchi hii ina shida kubwa kwenye kila sekta, kona na vichwa vya wananchi wake.
 
Kitendo cha wazazi kunyimwa taarifa za simu tu, inatosha kathibitisha ni watu gani wanaye Ben Saanane.
 
Karne hii nchi pekee ya Tanzania inachukua mwaka kufanya uchunguzi juu ya Ben Saanane raia wa nchi yake kutomtafuta hata kutoa taarifa tu,ninasikitika sana na hii ndio staili ya ujerumani ya zamani
 
Time will tell, there is no any other explanation to what has happened. We only rise our hands and say "Alhamdulilah" if really we were born of fresh indeed we shall have our say tomorrow. "God is great".
 
Back
Top Bottom