Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Vatikan hujaona link zao nilizoweka? pole sana.
Funguka zaidi miss strong ili na sie tusio kwenye wigo mpana wa taarifa tuelewe!Chonji jana kakamatwa......Nzowa ndani ya nyumba!!
Funguka zaidi miss strong ili na sie tusio kwenye wigo mpana wa taarifa tuelewe!
Aisee wanaanza pukutika..
Mtajwa hapo juu amekamatwa jana na polisi walifanikiwa kupata madawa kidogo nyumbani kwake.
hawa waislam wanajidai kufunga na kusali swala tano. Huku wanaharibu watoto wa watu na madawa. kisa pesa! kwakweli dini ni unafiki mkubwa.mkuu anjua majina ndio lakni hataki kuwataja maana hawa watu wako powerful na mtandao hatari. kwahiyo msimlaumu!