Ripoti: Saudi Arabia inakaribia kuwa lango kuu la Dawa za Kulevya

Ripoti: Saudi Arabia inakaribia kuwa lango kuu la Dawa za Kulevya

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo.

Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo vilikutwa kwenye ghala baada ya kuwasili kupitia bandari kavu ya mji wa Riyadh, ambapo raia sita wa Syria na wawili wa Pakistani walikamatwa kwa kuhusika na usafirishaji na wengine 8 waliotajwa kuwa wanunuzi.

Ingawa Mamlaka hazikutaja mzigo huo ulikotoka, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) ilisema ripoti za kukamatwa kwa Amphetamine kutoka nchi za Mashariki ya Kati zinaendelea kujirudia ukanda huo.

=============================

CNN reported that Saudi authorities have confiscated 47 million amphetamine pills that were hidden in a flour shipment, in an operation described as the biggest one-time drug smuggling attempt in terms of narcotics seized.

The pills were confiscated at a warehouse after arriving through the dry port of the capital Riyadh, the Saudi Ministry of Interior said in a statement.

Eight people were arrested on suspicion of smuggling the drugs, according to a spokesperson for the General Directorate of Narcotics Control (GDNC).

The ministry said the seizure was the biggest one-time drug smuggling attempt in terms of narcotics seized.

The ministry said the seizure was the biggest one-time drug smuggling attempt in terms of narcotics seized.

Saudi’s GDNC tracked the shipment and raided the warehouse, arresting six Syrian and two Pakistani nationals on suspicion of smuggling the drugs.

“The suspects were arrested and faced legal measures and were referred to the public prosecution,” the statement said.

The GDNC did not name the drug seized or where it arrived from.

Authorities arrested eight people on suspicion of drug smuggling.

Authorities arrested eight people on suspicion of drug smuggling.

The United Nations Office on Drugs and Crime (UNODC) previously said “reports of amphetamine seizures from countries in the Middle East continue to refer predominantly to tablets bearing the Captagon logo.”

Captagon was originally the brand name for a medicinal product containing the synthetic stimulant fenethylline. Though it is no longer produced legally, drugs carrying the Captagon name are regularly seized in the Middle East, according to the European Monitoring Centre for Drugs and Drug Addiction.

The counterfeit Captagon tablets contain amphetamine as well as other chemicals, according to the UNODC.

CNN
 
Kuna mjinga kachomesha ajiandae na vita kuu.
ANYWAY MADAWA NI HATARI KWA VIZAZI VYETU
 
Mbona hayo mataifa wanakotoka hao watuhumiwa zinadai ni za kidini sasa imekuwaje tena?
Kwani Vatican sio ya kidini mbona Kila siku tunasikia mapadri wanawalawiti watoto,hyo tabia ya mtu personal haihusiani na nchi maana mmeshazoea Kila kitu kuingiza udini au nenda Israel nchi yenu takatifu Sasa hv ndio makao makuu ya ushoga
 
Kwani Vatican sio ya kidini mbona Kila siku tunasikia mapadri wanawalawiti watoto,hyo tabia ya mtu personal haihusiani na nchi maana mmeshazoea Kila kitu kuingiza udini au nenda Israel nchi yenu takatifu Sasa hv ndio makao makuu ya ushoga
lin mtoto kalawitiwa huko Vatican? wavaa kobaz hamchok kutunga vihoja
 
Uko si ndio makao makuu ya watu wa Allah..!?
Mkuu katika uislamu na dini ya kiislamu hakuna nchi ni makao makuu, Lakini tunaelewa kwamba Makka ni mji mtakatifu na ndiko alikotoka kipenzi chetu Mtume Muhammad S.A.W lakini pia na kuna nyumba takatifu kwa ajili ya ibada za Hijja za Umra ambako waislam duniani hulazimika kwenda kwa mwenye uwezo kufanya Ibada katika nyumba tukufu Alkaaba na maeneo mengine mengine yaliyotajwa kuwa ni ya kiibada kwa mujibu wa mafundisho ya dini yetu lakini haimaanishi kwamba watu wote wanaoishi Makka na Saudia Arabia ni waislamu na hawamuasi M/Mungu., lazima uweze tofautisha hiyo situation.

Usijaribu kuufananisha uislamu na kama ulivyo ukiristo kwamba utakuwa na Makao Makuu Roma Italy Ilhali Nabii yesu ametokea Middle east.,
 
Wakienda hija wanarudi na mizigo
Khadithi sahihi kutoka kwa Mtume wetu kipenzi Mtume Muhammad S.A.W inasema kwamba "Kila amali hufanya kwa nia (purposes), na akaendelea kusema mwenye kutoka na kwenda hijja kwa ajili ya M/Mungu basi malipo yake ni pepo, lakini waliotoka na kwenda hijja kwa malengo mengine basi malipo yao pia yatakuwa ni kwa ajili ya kile walichokiendea.

Kuna unavyodai na kusema kuna watu wanaenda hija na kurudi na mizigo ya unga au bangi wala usikhofu uislamu tayari umeshatoa fatwa kwa watu hao na M/Mungu atawalipa kwa mabaya yao hayo ambayo waliyaendea. Katika uislamu mambo yote yameshaekwa wazi mkuu.
 
Kwani Vatican sio ya kidini mbona Kila siku tunasikia mapadri wanawalawiti watoto,hyo tabia ya mtu personal haihusiani na nchi maana mmeshazoea Kila kitu kuingiza udini au nenda Israel nchi yenu takatifu Sasa hv ndio makao makuu ya ushoga
Mbona hata kule Afrika Kusini Imam Muhsin anafagilia ushoga uhalalishwe. Uhalifu hauna kwao bwana wala hauna cha dini.
 
Back
Top Bottom