Ripoti: Tanzania yatajwa kwenye orodha ya Nchi zisizo na Furaha Duniani

Kwa mujibu wa World Happyness Report 2022 ,Tanzania ni Miongoni mwa Mataifa 10 ambayo watu wake hawana Furaha kabisa ya Maisha..

Kwamba Somalia,Rwanda,Iraq,Korea Kaskazini,Syria,Libya,Nigeria,Kenya nk huko watu wake Wana furaha ya Maisha ila Tanzania hatuna furaha..

Baadhi ya Hizi ripoti ni upuuzi na ushenzi mkubwa,imagine Botswana nayo Wananchi Wake Hawana furaha..

My Take

Kuna haja ya Serikali kuwa consult wanao andaa hizi ripoti walete vigezo walivyotumia kufikia hitimisho hili vinginevyo ni kuipaka Matope na kuichafua Nchi yetu ambayo ni kisiwa Cha Amani na Kimbilio la wenye uhitaji..

 
Tulikuwa top 3 sasa tupo top ten..
Tume improve sana..
Naamini mwakani hatupo top ten
 
Ripoti ya kishenzi hiyo,Tanzania iwepo Kwa sababu zipi hasa?
 
How?

Si mnasema mamaenu kaleta furaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…