Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Watu wanafuraha sana waachwe uzushi, haiwezekani kila saa ukawa na furaha labda kama taifa zima liwe lina sizi bange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu ana miitikio yake.Yawezekana wakipigwa wanafurahi sana.Kwaiyo wakenya waliokuwa wanapigwa na mabomu ya mochozi Jana ndo wenye furaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe? Sababu ni zipi hasa?Tulikuwa top 3 sasa tupo top ten..
Tume improve sana..
Naamini mwakani hatupo top ten
Hao ni washenzi,Tanzania haipaswi kuwepo kwenye list ya unhappiness kabisaBostwana na Malawi ? Hiyo list itakuwa fraud...halafu Kenya haipo??
Ripoti ya kishenzi hiyo,Tanzania iwepo Kwa sababu zipi hasa?Ripoti ya Dunia ya Furaha 2023 imetolewa. Kwa mujibu wa viwango vya Dunia Vya Furaha kwa mwaka 2023, Finland ndiyo nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa sita mfululizo. Wakati huo Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi zenye Watu wasio na Furaha duniani.![]()
Orodha kamili hii hapa
Nchi 10 Zisizo na Furaha Duniani
1. Afghanistan
2. Lebanon
3. Sierra Leone
4. Zimbabwe
5. DR-Congo
6. Botswana
7. Malawi
8. Visiwa vya Comoro
9. Tanzania
10. Zambia
Chanzo: World Happines/ UN
Nchi 10 Zenye Furaha Duniani
1. Finland
2. Denmark
3. Iceland
4. Israel
5. Netherlands
6. Sweden
7. Norway
8. Switzerland
9. Luxembourg
10. New Zealand
Chanzo: World Happines/ UN
View attachment 2559746
================
Finland was today named the world's happiest country — once again.
The nation, home to 5.5million people, has now held the title for six years running.
Meanwhile, Afghanistan remains bottom of the World Happiness Report, a league table of almost 140 countries.
The UK dropped two places to 19th — while the US jumped up one place to 15th in the annual UN-sponsored index. France dropped out of the top 20.
As well as producing the rankings, scientists behind the report concluded that the Covid pandemic has not made us unhappier.
Self-reported satisfaction remained 'remarkably resilient' worldwide between 2020 and 2022 – despite the pandemic, results revealed.
Scroll down to view the full ranking list of the 137 countries involved.
Despite several overlapping global crises between 2020 and 2022, including Covid and war in Ukraine, most countries logged global life satisfaction scores that were just as high as those in the pre-pandemic years, the researchers found.
Interviews with more than 100,000 people across 137 countries revealed that people self-reported significantly higher levels of benevolence — acts of kindness — than before 2020.
The World Happiness Report, now in its 11th year, is based on people's own assessment of their happiness, as well as economic and social data.
It assigns a happiness score on a scale of zero to ten, based on an average over a three-year period.
This year, the authors also used data from social media to compare people's emotions before and after the Covid crisis.
WORLD HAPPINESS/ UN 2023