Ripoti WEF: Mataifa ya Afrika yatakabiliwa na Gharama Kubwa za Maisha mwaka 2023

Ripoti WEF: Mataifa ya Afrika yatakabiliwa na Gharama Kubwa za Maisha mwaka 2023

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Jukwaa la Uchumi limesema licha ya kuwepo kwa dalili za kupungua kwa Mfumuko wa Bei, Mataifa ya Afrika yataendelea kukabiliwa na mwaka mgumu kwa sababu ya agizaji Bidhaa nje na Mishahara Duni ya Wafanyakazi.

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Gita Gopinath amesema matumizi ya Chakula yanazidi kuongeza mzigo kwenye Kipato cha Kaya za Nchi Masikini ikilinganishwa na Nchi Tajiri huku gharama za Nishati na Nyumba zikiwa juu ya 30% tofauti na mwaka 2019.

Aidha, imeelezwa kuwa Mfumuko wa Bei wa Vipengele Vikuu vya Gharama za Maisha (Chakula, Nyumba, Nishati) vitazidisha tatizo duniani kote kwa kuongeza Watu wanaoishi katika umaskini badala ya kupungua.

=========

Africa will continue to suffer a tough year as cost of living soars despite positive signs on inflation, a result of a high import bill and low wages.

In many African countries, headline inflation appears to have peaked last year and is already decelerating, but situations unique to developing and low-income nations in Africa, especially, might continue to affect livelihoods for the rest of the year, pundits gathered at the World Economic Forum (WEF) in Davos, Switzerland, said this week.

War and conflict

For instance, food expenditures gobble up a higher proportion of household incomes in the developing world compared with richer countries, and with wages also relatively lower, the cost-of-living crisis will be bigger for African countries than the richer ones, for

Gita Gopinath, the International Monetary Fund’s First Deputy Executive Director, said prices will still remain high for most of 2023 because even though inflation is slowing down, there is no deflation, meaning that commodity prices are still rising, just slower, and the impact differs between countries and households.

“Food prices have come down, but they are still about 30 percent above 2019 levels, and we are likely to see the retail prices of food going up, especially in the developing world,” Ms Gonipath said while speaking at the forum’s session on “Stemming the Cost-of-Living Crisis” on Tuesday.

Main components

Laura Tyson, an economics professor at the University of California, Berkeley, said the inflation of main components of costs of living – food, housing, and energy – exacerbated a poverty problem throughout the world as wages did not improve correspondingly.

“We have seen an increase in the number of people living in poverty instead of a reduction because the inflation worsened a problem that existed before and that we haven’t solved,” she said at the same session in Davos.

This bleak picture is evident in the region, where despite inflation peaking last November in most of the countries, citizens are still grappling with high food and fuel prices.

Climate factor

Indeed, in moves lauded by both World Bank and IMF, the region’s central banks, like others globally, have hiked their policy rates to tame soaring inflation that was mainly occasioned by the conflict in Eastern Europe.

Nonetheless, food and energy prices remain significantly higher than pre-pandemic levels and wages have stagnated, resulting in a drop in real income, according to a recent report by UN Economic Commission for Africa (ECA).

Based on the ECA report, the Ukraine crisis, coupled with devastating climate catastrophes on the continent, was projected to push at least 310 million Africans, over a third of the population, into hunger by the end of 2022, with several others facing extreme food insecurity.

In some developed economies, however, the cost-of-living crisis is expected to be milder in 2023 as inflation rates relent following the tightening of monetary policies. Germany is one of them.

Speaking during the same session in Davos, Christian Lindner, the German finance minister, said their government had set aside €200 billion ($217 billion) to cushion citizens from the high cost of living but they might not need all of it as the situation has significantly improved.

THE EASTAFRICAN
 
Hicho ndicho wanachohitaji zaidi..hamtaki kupigana mmalizane, hamuuwani vizuri, wakileta magonjwa mapya hamfi, wakiwaletea mbegu mbaya za mazao hamtaki kitumia, mkiambiwa mpange uzazi hamtaki, Dini mmeshazi modify mnafuata kanuni zenu.

Bado hamtaki kuwa wapweke mnashirikiana, Kansa imeshindwa kabisa ku take over Africa, Ebola imeshindwa, bali katika kuwatia Khofu wanaona huko ndiko wanafanikiwa bora wakazie huko, ukiwa na Hofu huna utakalofanya.

Ki ukweli hawa jamaa tukiweza kuwapuuza kwa kila ujinga wao wanauzungumzia sasa, wataonesha sura zao halisi. Eti Africa itakubwa na uhaba wa Chakula, tangu lini? Uhaba uliopo ni ule wanaoutengeneza( sababisha wao) kutuuzia mbegu zisizo bora, mbegu ambazo zinakuja na package zake za kudumaza Ardhi ( rutuba ) zamani tulilima bila ya kuweka mbolea yoyote ile na mwezi wa sita, kila Kaya ilikuwa na chakula cha kutosha, wali walinemwa, pepeta zililiwa, ngoma zilichezwa, watoto tulikuwa na furaha na miili yenye afya.

Tulikula Maboga na Mamun'gunya asubui, mihogo kwa magimbi! Watu tulikula Bwimbwi, unapita kwenye shamba la mtu unapewa mahindi ukachome tena ya kutosha, leo ukikatiza hovyo unaweza pigiwa ukunga wa Mwizi. Wanajitahidi sana tusipendane hawa jamaa, tuwe wapweke ili waweze kutugawa na kitutia khofu. Wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Wazungu ni Umbwa tu.
 
Back
Top Bottom