britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kidumu Chama changu cha Mapinduzi, zidumu fikra zilizosahihi za Mweyekiti zisizo sahihi tuzifute, wananchi nawasalimu sana.
Tushirikishane hapa, kuna jambo linakwepwa sana na halisemwi, nalo ni kwakuwa chapa ya ndege yetu itashuka ikionekana hakukuwapo uwajibikaji wa wahudumu na shirika kwa usalama wa abiria;
1. Kwanini Mbalawa anajua kwamba report ilikuwa ndiyo ile ile inayosambazwa na Zitto lakini akamtumia ujumbe Msigwa kwamba ikanushwe kwanza kuna jambo haliko sawa? Na hii ni baada ya kuvuja kupitia kwa Zitto kabla ya kuihakiki wanavyotaka iende mtandaoni.
2. Mimi ni CCM ninayependa kudadisi mambo na kuhoji sana masuala ya msingi. Kwanini uchunguzi na ukamilishaji wa repoti hiyo ulihusisha mawasiliano ya mara kwa mara na Michael Lyakurwa ambaye ni Senior manager wa Precision Air, ambaye kwa taarifa zisizo rasmi zaidi alikuwa na mawasiliano pia na mzee wangu, Mwenyekiti Msaidizi wa chama chetu, ambaye pia ni Mjumbe kwenye Bodi ya Wakurugenzi kwenye Precision Air?
3. Abiria aliyerejea Dar es Salaam na kuhojiwa, alipigiwa simu kupitia namba +255 765 737 500, kwamba ajiandae kurejea Dar es Salaam kutumia ndege yao shirika hilo hilo na anaweza kuwa na mahojiano na waandishi wa habari wakati wa safari. Na ticket alikuwa na ya njia moja lakini ya pili ikawa bure, na maelezo aliyotoa yanatofautiana na ya abiria wengine waliokuwa huko.
4. Kwanini Precision Air walihangaika sana kutafuta mwandishi wa habari wa Magazeti ya Citizens na wengine waliomba namba za wapinzani wawape taarifa za kugeuza umakini wa akili za Watanzania?
Kuna mambo ya msingi ya kujiuliza juu ya mambo haya.
Cc barafu Pascal Mayalla
Britanicca