Ripoti ya benki ya Dunia inaonesha Zimbabwe ina nafasi nzuri kwa mazingira ya uwekezaji kuliko Tanzania

Mazingira mazuri ni kuruhusu kuibiwa hapo nimekuelewa.

Ila kuanzisha na kufanya biashara hapo tumewazidi na ndio muhimu zaidi ila mleta mada kwa hila zako tu ukaamua kuchagua kile kitachoifanya nafsi yako iridhike.
 
Mazingira mazuri ni kuruhusu kuibiwa hapo nimekuelewa.
Hivi wewe umewai fika sehemu gani hapa duniani??? Maana kutoka kijijini kuja Dar es Salaam ndo umeona Tanzania ni kila kitu eeh????

Kwa taarifa yako ukitembea nchi zilizoendelea kutuzidi hata hapa Africa tu, ndo utaamini kuwa unaishi kwenye utopolo wa ajabu!!
 
Ndo akili zenu, msha kuwa over Brainwash, so Rwanda inaibiwa na nani?
Mazingira mazuri ni kuruhusu kuibiwa hapo nimekuelewa.

Ila kuanzisha na kufanya biashara hapo tumewazidi na ndio muhimu zaidi ila mleta mada kwa hila zako tu ukaamua kuchagua kile kitachoifanya nafsi yako iridhike.
 
Habari za kipuuzi kama hizi kwa nini ziruhusuwe? Zimbabwe wanawalipa waliotaifishiwa mashamba mabilioni ya dollari. Wazungu wanawadanganya kwa propoganda za chombo cha WB. Wanabadilishana ardhi na dollari juu kwa hizi sifa za kipuuzi za WB. Huyo Rais wao hana muda atapinduliwa.
 
Kwani walivyochukua mashamba ya wazungu waliweza kuyaendeleza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…