ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwamba ikitoka ndo malaika wataingia kirekebisha?CCM atoke kwenye madaraka tubadilishe uongozi maana kwa sasa tunachangamoto sana.
Kuongea gharama za michango sio suluhisho, jawabu ni kupunguza matumizi yasiyo na maana, kudhibiti udanganyifu wa bima, na serikali irejeshe fedha ilizochota kwenye mfuko kwa ajili ya miradi.Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ulikopesha fedha zaidi ya Tril 1 katika taasisi mbali mbali tokea kuanzishwa kakwe.
CAG kasema kuwa waliokopeshwa hawataweza rudisha hizo pesa
Mmoja wa wanufaika ni Hospital ya Mkapa Dodoma.
Mfuko huu utaendelea pata hasara hadi mtaji wake kufikia hasi.
Kwa sasa michango ni ongezeko la 12% wakati matumizi ni zaidi ya 28%
Huu mfuko umeuawa na serikali kwa kuweka siasa,fedha wanayokatwa watumishi ni ndogo kulingana na huduma wanazopewa, serikali iongeze gharama angalau mtu atibiwe kwa daraja la jinsi anavyochangia
Serikali iziondoe hospital binafsi katika huu mfuko maana kwa sehemu kubwa ndio wanachangia kuua mfuko kwa madai yasiyo sahihi.
Mfano: Mtoto wangu alienda Rabininsia akarundikiwa dawa ilibidi nyingine tuzitupe, ukipiga bei ya zile dawa inafika 100,000 ila alikuwa anahitaji salbitamol pekee
Sasa atatoa huduma bila hela?Samahani mimi sio mjuvi sana wa haya mambo, kwani kazi ya mfuko wa bima ya afya ni kufanya biashara au kutoa huduma!?
Sada wanaingiaje kwenye mambo yasiowahusu mfano kuzikopesha taasisi za afya.. ukikopesha hiyo ni biashara.. na watapata hasara sana.
Kitendo cha kuanza kutoa mikopo wakati yeye sio financial services provider uoni kama anajipa majukumu yasiyomuhusu!? Mfuko unatakiwa ujiendeshe kwa kutumia fedha za wanachama labda na ruzuku kidogo kutoka serikalini kwa sababu yeye ni facilitator wa huduma za afya kwa wananchi, ndio maana hizo hasara alizipata ni utasikia alikopesha taasisi x ili ijenge n.k sio loss kutokana na matumizi yaliyozidi kutoka kwa wanachama wa bima... Ndio maana nikauliza yeye kazi yake kutoa huduma je hayo majukumu anayojipa yanamsaidia nini kama sio kuleta hasara!?Sasa atatoa huduma bila hela?
Kwamba ikitoka ndo malaika wataingia kirekebisha?
Zibuka usikie hizi dawaSikio la kufa
Natoa wazo, serikali iongeze sh.50/= kwenye mafuta ili watu wake watibiwe bure.Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu.
Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda.
Mh.Rais watu Hawa walioshindwa kazi Fukuza mda wa kuleana Kwa kuwakomoa Watanzania umekwisha.
Ni kwani mfuko WA kuchangiana ufilisike,hebu fikiria kama watumishi WA imma wako 600,000 ,wakaugua 150,000 kwa wastani WA miezi 6@,itawezenaje kufilisika.hizi zinasababishwa na kuanzisha kituo kipya bila ya,kuona wengine walifsnikisha je,kuwa na andiko,kuwa na eneo dogo(pllot)kufanyia majaribio,kuajiri kwa kujuana,utoaji wa taarifa za kupika,kutokuwa huru nakujipendekeza .wakipewawa waeledi mambo yatakuwa sawa.Samahani mimi sio mjuvi sana wa haya mambo, kwani kazi ya mfuko wa bima ya afya ni kufanya biashara au kutoa huduma!?
Sada wanaingiaje kwenye mambo yasiowahusu mfano kuzikopesha taasisi za afya.. ukikopesha hiyo ni biashara.. na watapata hasara sana.
Hapa itabidi nijilazimishe tu kukuelewaNi kwani mfuko WA kuchangiana ufilisike,hebu fikiria kama watumishi WA imma wako 600,000 ,wakaugua 150,000 kwa wastani WA miezi 6@,itawezenaje kufilisika.hizi zinasababishwa na kuanzisha kituo kipya bila ya,kuona wengine walifsnikisha je,kuwa na andiko,kuwa na eneo dogo(pllot)kufanyia majaribio,kuajiri kwa kujuana,utoaji wa taarifa za kupika,kutokuwa huru nakujipendekeza .wakipewawa waeledi mambo yatakuwa sawa.
Zito anasema wao Wana suluhisho.Kwa nini Serikali na NHIF hawachukui mawazo Chanya?Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ulikopesha fedha zaidi ya Tril 1 katika taasisi mbali mbali tokea kuanzishwa kakwe.
CAG kasema kuwa waliokopeshwa hawataweza rudisha hizo pesa
Mmoja wa wanufaika ni Hospital ya Mkapa Dodoma.
Mfuko huu utaendelea pata hasara hadi mtaji wake kufikia hasi.
Kwa sasa michango ni ongezeko la 12% wakati matumizi ni zaidi ya 28%
Huu mfuko umeuawa na serikali kwa kuweka siasa,fedha wanayokatwa watumishi ni ndogo kulingana na huduma wanazopewa, serikali iongeze gharama angalau mtu atibiwe kwa daraja la jinsi anavyochangia
Serikali iziondoe hospital binafsi katika huu mfuko maana kwa sehemu kubwa ndio wanachangia kuua mfuko kwa madai yasiyo sahihi.
Mfano: Mtoto wangu alienda Rabininsia akarundikiwa dawa ilibidi nyingine tuzitupe, ukipiga bei ya zile dawa inafika 100,000 ila alikuwa anahitaji salbitamol pekee.
Kweli yaani. We mtu DJ hajalipa kodi ya pango miaka kumi pale Bilicanas unategemea atakusanya kodi?Kwamba ikitoka ndo malaika wataingia kirekebisha?
Hii ni kweli kabisa na sidhani kama katika hili wataelewa,ila ki uhalisia Hospitali binafsi zinachangia kkwa kiasi kikubwa kuuwa mfuko wa Taifa wa bima ya afya.Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ulikopesha fedha zaidi ya Tril 1 katika taasisi mbali mbali tokea kuanzishwa kakwe.