Ripoti ya CAG 2021-2022: Mfuko wa Bima ya Afya Umepata Hasara ya Shilingi Bilioni 189

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu.

Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda.

Mh.Rais watu Hawa walioshindwa kazi Fukuza mda wa kuleana Kwa kuwakomoa Watanzania umekwisha.

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ulikopesha fedha zaidi ya Tril 1 katika taasisi mbali mbali tokea kuanzishwa kakwe.
CAG kasema kuwa waliokopeshwa hawataweza rudisha hizo pesa

Mmoja wa wanufaika ni Hospital ya Mkapa Dodoma.

Mfuko huu utaendelea pata hasara hadi mtaji wake kufikia hasi.

Kwa sasa michango ni ongezeko la 12% wakati matumizi ni zaidi ya 28%

Huu mfuko umeuawa na serikali kwa kuweka siasa,fedha wanayokatwa watumishi ni ndogo kulingana na huduma wanazopewa, serikali iongeze gharama angalau mtu atibiwe kwa daraja la jinsi anavyochangia

Serikali iziondoe hospital binafsi katika huu mfuko maana kwa sehemu kubwa ndio wanachangia kuua mfuko kwa madai yasiyo sahihi.

Mfano: Mtoto wangu alienda Rabininsia akarundikiwa dawa ilibidi nyingine tuzitupe, ukipiga bei ya zile dawa inafika 100,000 ila alikuwa anahitaji salbitamol pekee.
 
Mfano: Mtoto wangu alienda Rabininsia akarundikiwa dawa ilibidi nyingine tuzitupe, ukipiga bei ya zile dawa inafika 100,000 ila alikuwa anahitaji salbitamol pekee
Kuongea gharama za michango sio suluhisho, jawabu ni kupunguza matumizi yasiyo na maana, kudhibiti udanganyifu wa bima, na serikali irejeshe fedha ilizochota kwenye mfuko kwa ajili ya miradi.
 
Hivi hii bima inakubarika pale Sali International hospital?
 
Samahani mimi sio mjuvi sana wa haya mambo, kwani kazi ya mfuko wa bima ya afya ni kufanya biashara au kutoa huduma!?
Sada wanaingiaje kwenye mambo yasiowahusu mfano kuzikopesha taasisi za afya.. ukikopesha hiyo ni biashara.. na watapata hasara sana.
 
Sasa atatoa huduma bila hela?
 
Sasa atatoa huduma bila hela?
Kitendo cha kuanza kutoa mikopo wakati yeye sio financial services provider uoni kama anajipa majukumu yasiyomuhusu!? Mfuko unatakiwa ujiendeshe kwa kutumia fedha za wanachama labda na ruzuku kidogo kutoka serikalini kwa sababu yeye ni facilitator wa huduma za afya kwa wananchi, ndio maana hizo hasara alizipata ni utasikia alikopesha taasisi x ili ijenge n.k sio loss kutokana na matumizi yaliyozidi kutoka kwa wanachama wa bima... Ndio maana nikauliza yeye kazi yake kutoa huduma je hayo majukumu anayojipa yanamsaidia nini kama sio kuleta hasara!?
 
Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu.

Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda.

Mh.Rais watu Hawa walioshindwa kazi Fukuza mda wa kuleana Kwa kuwakomoa Watanzania umekwisha.

Natoa wazo, serikali iongeze sh.50/= kwenye mafuta ili watu wake watibiwe bure.
 
Samahani mimi sio mjuvi sana wa haya mambo, kwani kazi ya mfuko wa bima ya afya ni kufanya biashara au kutoa huduma!?
Sada wanaingiaje kwenye mambo yasiowahusu mfano kuzikopesha taasisi za afya.. ukikopesha hiyo ni biashara.. na watapata hasara sana.
Ni kwani mfuko WA kuchangiana ufilisike,hebu fikiria kama watumishi WA imma wako 600,000 ,wakaugua 150,000 kwa wastani WA miezi 6@,itawezenaje kufilisika.hizi zinasababishwa na kuanzisha kituo kipya bila ya,kuona wengine walifsnikisha je,kuwa na andiko,kuwa na eneo dogo(pllot)kufanyia majaribio,kuajiri kwa kujuana,utoaji wa taarifa za kupika,kutokuwa huru nakujipendekeza .wakipewawa waeledi mambo yatakuwa sawa.
 
Hapa itabidi nijilazimishe tu kukuelewa
 
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ulikopesha fedha zaidi ya Tril 1 katika taasisi mbali mbali tokea kuanzishwa kakwe.
CAG kasema kuwa waliokopeshwa hawataweza rudisha hizo pesa

Mmoja wa wanufaika ni Hospital ya Mkapa Dodoma.

Mfuko huu utaendelea pata hasara hadi mtaji wake kufikia hasi.

Kwa sasa michango ni ongezeko la 12% wakati matumizi ni zaidi ya 28%

Huu mfuko umeuawa na serikali kwa kuweka siasa,fedha wanayokatwa watumishi ni ndogo kulingana na huduma wanazopewa, serikali iongeze gharama angalau mtu atibiwe kwa daraja la jinsi anavyochangia

Serikali iziondoe hospital binafsi katika huu mfuko maana kwa sehemu kubwa ndio wanachangia kuua mfuko kwa madai yasiyo sahihi.

Mfano: Mtoto wangu alienda Rabininsia akarundikiwa dawa ilibidi nyingine tuzitupe, ukipiga bei ya zile dawa inafika 100,000 ila alikuwa anahitaji salbitamol pekee.
Zito anasema wao Wana suluhisho.Kwa nini Serikali na NHIF hawachukui mawazo Chanya?

Hii ni kweli kabisa na sidhani kama katika hili wataelewa,ila ki uhalisia Hospitali binafsi zinachangia kkwa kiasi kikubwa kuuwa mfuko wa Taifa wa bima ya afya.
Serikali ingejikita kwenye kuboresha huduma katika vituo vyake ili watu wasiende kwenye vituo vya watu binafsi bila sababu za msingi.
 
Back
Top Bottom