Ripoti ya CAG: Bwawa la Mwalimu Nyerere limesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48

Hiyo Fedha ni Barabara ya Lami kutoka Dodoma Hadi Dar es salaam Na chenji Inabaki.
Kwa viwango vya Juu Mno.
 
Kwenye Uzi wa masuala ya ngono ungekuta page ya 20

Ndo maana nasema tuna tatazo kuanzia wananchi wenyewe sio viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…