Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu hatukuhangaika na vyama mamlukiChama cha mnafiki wa taifa lipumba kinahali mbaya
uko wapi?Sema ubadhirifu upo kama kawaida.
Kwa ripoti ipi sasaSema ubadhirifu upo kama kawaida.
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).CCM ndio kidedea miaka yote imepata Hati Safi!
CCM ndio kidedea miaka yote imepata Hati Safi!
Sipati picha stiglers na SgrKigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi....
Namba 7 kwenye hiyo orodha ndio Chama Dume!CCM wao hati yao ikoje, nataka kuona ushahidi wa maandishi toka kwenye taarifa ya CAG kama uliowekwa kwa Chadema.
Huyu kigwangala anastahili kuwa jela kwa sasaKigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi..
Bilionea Mbowe ndiye kiongozi pekee wa Chama cha siasa nchini Tanzania asiyelipwa na ambaye hutoa hela mfukoni mwake ili kuchangia chamaHela anakula Mbowe kwa akili sana tena kwa maandishi,
Nyie misukule wake hamuwezi kuona lolote
Huyu kigwangala anastahili kuwa jela kwa sasa
Tumia akili kidogo basi na lugha ya staha, hii ni ripoti ya CAG.Huyu hawezi kuwa kama ulivyosemaHela anakula Mbowe kwa akili sana tena kwa maandishi,
Nyie misukule wake hamuwezi kuona lolote