Shida iyo nyadhifa ya Raisi wa Tanganyika haipo.Nawaona kupe wako nafasi ya juu kabisa kwenye madeni. Wanapenda vya bure mpaka basi! I wish ningekuwa Rais wa Tanganyika! Ndani ya siku 100 za uongozi wangu hakika ningewafundisha nini maana halisi ya neno "kujitegemea" .
Nadhani kuna kipindi walisamehewa japo on record ndio walikuw wadaiwa wakubwaZanzibar ndio ina deni kubwa zaidi
Zanzibar Electricity Corporation ZECOZECO: Tsh 292 billion
Wangelia sana deni lote hilo linabakia kwa na hawatolipaNawaona kupe wako nafasi ya juu kabisa kwenye madeni. Wanapenda vya bure mpaka basi! I wish ningekuwa Rais wa Tanganyika! Ndani ya siku 100 za uongozi wangu hakika ningewafundisha nini maana halisi ya neno "kujitegemea" .
Ndio maana kule umeme bei chee kumbe wanakula na kulala bureZanzibar Electricity Corporation ZECO
Bure tu nyinyi mnawalipia cha juu kila kichwa wao wanachezea tu umeme hapo bado majiNdio maana kule umeme bei chee kumbe wanakula na kulala bure
One man show ya Jiwe..JPM aliwahi sema "kata,hata kama ni nyumba jeupe"
KUPEZanzibar ndio ina deni kubwa zaidi
kushinda taasisi zote za Bara baadae utasikia wamesamehewaZanzibar ndio ina deni kubwa zaidi
Cha kushangaza zaidi, ZNZ wananchi wananunua umeme kama ilivyo Tanzania Bara, Tsh 500 unit 1.4 , je ZECO hizo fedha wanazipeleka wapi badala ya kulipa deni? Hawana Gharama za kuzalisha umeme labda matengenezo na usambazaji maeneo machache.kushinda taasisi zote za Bara baadae utasikia wamesamehewa
wameshaona Tanganyika ni wajinga dawa ni wakatiwe umemeCha kushangaza zaidi, ZNZ wananchi wananunua umeme kama ilivyo Tanzania Bara, Tsh 500 unit 1.4 , je ZECO hizo fedha wanazipeleka wapi badala ya kulipa deni? Hawana Gharama za kuzalisha umeme labda matengenezo na usambazaji maeneo machache.