Ripoti ya CAG Tanzania inaonyesha mabasi ya mwendo kasi yamekua yakiendeshwa kwa hasara ya mabilioni

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ripoti inaonyesha kwamba mabasi yenyewe machache na yamekua kero maana abiria wanasongamana na pia yanashuka thamani kwa kasi/depreciation maana yanatumika kupita yalivyokusudiwa, kuna upungufu wa mabasi 165.
Na pia humo humo kwenye mradi kuna watu wamepiga hela sana kwenye mahesabu ya mafuta na mambo mengine.

CCM JF brigade raundi hii mnalo, mtakesha sana mkisafisha haya ya CAG.....
------------------------------

The Bus Rapid Transit project has a shortage of 165 buses.
It was supposed to have 305 buses in the first phase of the project, the 2017/18 audit report by Controller and Auditor General (CAG) shows.
According to report submitted to Parliament in Dodoma on Wednesday, April 10, 2019 by CAG Mussa Assad, the Usafiri Dar es Salaam Rapid Transit (Udart) deployed a fleet of 140 buses, equivalent to 45.9 per cent of the required number of buses.
“The shortage has led to delayed transportation of commuters and overcrowding of passengers in the buses. Even depreciation is expected to be higher than projected because buses carry more passengers than their normal capacity,” reads part of the report.
The report shows that Udart operated at a loss of Sh6.78 billion loss in the first eight months of its operations that commenced on May 10, 2016.
https://www.thecitizen.co.tz/News/B...eport-shows/1840340-5068846-6tqgj0/index.html
 
Isipoboreshwa system ya mwendokasi huu mradi unaweza kua wa ovyo sana maana unagusa kero za watu mojamoja uendeshaji mbovu , wafanyakazi viburi, ipo siku watawakoma wananichi waliolala
NOTE IPO SIKU TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri maradhi yazidi kuumbuliwa yasije yakasababisha vifo.
Kubanwa kwa Uhuru wa kujieleza kunawafanya mteseke in silence.
 
Kama haya ndiyo mambo ya BRT basi heri tuendelee na #nganya zetu
FB_IMG_15550156624602223.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loss loss kila pahali.
Ripoti inaonyesha kwamba mabasi yenyewe machache na yamekua kero maana abiria wanasongamana na pia yanashuka thamani kwa kasi/depreciation maana yanatumika kupita yalivyokusudiwa, kuna upungufu wa mabasi 165.
Na pia humo humo kwenye mradi kuna watu wamepiga hela sana kwenye mahesabu ya mafuta na mambo mengine.

CCM JF brigade raundi hii mnalo, mtakesha sana mkisafisha haya ya CAG.....
------------------------------

The Bus Rapid Transit project has a shortage of 165 buses.
It was supposed to have 305 buses in the first phase of the project, the 2017/18 audit report by Controller and Auditor General (CAG) shows.
According to report submitted to Parliament in Dodoma on Wednesday, April 10, 2019 by CAG Mussa Assad, the Usafiri Dar es Salaam Rapid Transit (Udart) deployed a fleet of 140 buses, equivalent to 45.9 per cent of the required number of buses.
“The shortage has led to delayed transportation of commuters and overcrowding of passengers in the buses. Even depreciation is expected to be higher than projected because buses carry more passengers than their normal capacity,” reads part of the report.
The report shows that Udart operated at a loss of Sh6.78 billion loss in the first eight months of its operations that commenced on May 10, 2016.
https://www.thecitizen.co.tz/News/B...eport-shows/1840340-5068846-6tqgj0/index.html

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri maradhi yazidi kuumbuliwa yasije yakasababisha vifo.
Kubanwa kwa Uhuru wa kujieleza kunawafanya mteseke in silence.

Ahaaa haaa haaa
Uhuru upo mkubwa SANA. NDIYO maana mambo yote yako HADHARANI. MPAKA wewe toka kibera town umeyajua.
 
Hili suala lipo wazi na si kitu cha kushtusha kwa public entities.. Hata Kenya mna hii case

By the way niliskia mnasema hamna habari na habari za Tz..kumbe report ya CAG imevuka border

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seikali italazimika kuuchukua huu mradi na kuurudidmsha serikalini. Pia hii itajumuisha kununua mabasi mapya ya Kijapani au kama yale ya double decker yanayotumik Uk ili kufacilitate usafirishaji wa abiria.
 
Hili suala lipo wazi na si kitu cha kushtusha kwa public entities.. Hata Kenya mna hii case

By the way niliskia mnasema hamna habari na habari za Tz..kumbe report ya CAG imevuka border

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, hizi habari wakenya wanazipata kupitia maripota wetu ngangari kwenye jukwaa hili. Kwenye media za Kenya hazipo hata kidogo. Ila mkimsaanane huyu CAG wenu mimi ndio nitakuwa wa kwanza kuandika taarifa ndefu sana kwenye gazeti letu la lugha ya kiswahili, Taifa Leo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CAG ni mwanaume.. usijali kuhusu hilo

Ila kwa sasa unaweza kuandika jarida la kiswahili maana baada ya miaka hii yote naona kiswahili chako kimeanza kunyooka kama umezaliwa tandale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CAG ni mwanaume.. usijali kuhusu hilo

Ila kwa sasa unaweza kuandika jarida la kiswahili maana baada ya miaka hii yote naona kiswahili chako kimeanza kunyooka kama umezaliwa tandale

Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa, kiswahili ni kile kile tangia siku yangu ya kwanza nilipojitosa kwenye jukwaa hili. Hii 'love affair', ya karibia miaka yangu yote chini ya jua, ni kali sana kati yangu na hii lugha yetu tukufu. Infact its the only reason am here.
 
Hapana "ukiwa ndani ya msitu huwezi kuuona msitu bali miti ila ukitoka nje ya msitu ndipo utauona...".. kama hivyoo

By old tobaaaa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana "ukiwa ndani ya msitu huwezi kuuona msitu bali miti ila ukitoka nje ya msitu ndipo utauona...".. kama hivyoo

By old tobaaaa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! [emoji1] Sawa boss. Ila hiyo ni kwa binadamu ambao 'perception' yao ni dhaifu, ya 2D tu, sio sisi _____ tuliozaliwa msituni. [emoji38]
 
Nishaelezea kila kitu
Weka picha zote usitafute zile nzuri nzuri tu, haya yanaingliwa hata dirishani

dpitnwrxuaatjg9-jpg-large-jpg.893201

mwendokasi-2.jpg

IMG-20161018-WA0009-660x400.jpg

mwendokasi-1.jpg
,mpaka mkurugenzi wa hiyo kampuni yupo jela,kutokana na ufisadi,km serikali haiwezi kuweka mambo sawa kwa haraka ndio maana nimekuambia kuna kampuni zishaomba kuendesha huo mradi,kuna kampuni za kitanzania kuna tetesi akiwemo bakhresa,kuna kampuni nyingine za kutoka germany na dubai,na safari hii huo mradi utapewa kampuni 2 ili kuleta ushindani,mpumbavu mmoja tu tena ananyea ndoo segerea huko ndio aliuvuruga huu mradi
 
Na vile walikua wanacompare SGR yetu na BRT Yao !
 
Back
Top Bottom