Ripoti ya CAG Tanzania inaonyesha mabasi ya mwendo kasi yamekua yakiendeshwa kwa hasara ya mabilioni

Ripoti ya CAG Tanzania inaonyesha mabasi ya mwendo kasi yamekua yakiendeshwa kwa hasara ya mabilioni

Mara nyingi brt inaendeshwa na serikali kuu au majiji. Faida zake huwa hazionekani moja kwa moja, watu wanapowahi kwenye shuguri zao wanazalisha na serikali inapata mapato kupitia kodi
 
Mara nyingi brt inaendeshwa na serikali kuu au majiji. Faida zake huwa hazionekani moja kwa moja, watu wanapowahi kwenye shuguri zao wanazalisha na serikali inapata mapato kupitia kodi
Reli pia hua ni hivyo, lakini hilo halijazuia watanzania kuimba kila siku kwamba SGR ya Kenya ni ndovu mweupe kwasababu kampuni haijawai kupata faida
 
And speaking of which, Serekali ya Kenya imesema ita release 'White paper' ya ku shift kutumia only Electric Vehicles by 2040... I hope wataanza na magari ya umma, yani matatu na basi za mijini kama Nairobi, Mombasa, Nakuru etc
 
Yaani MATATU CRIMINALS AND UNCIVILIZED THUGS atumie Magari ya Umeme? Spare My Ribbs bro.
 
Yaani MATATU CRIMINALS AND UNCIVILIZED THUGS atumie Magari ya Umeme? Spare My Ribbs bro.
The "Uncivilized" Matatu industry thugs make more profit than your Dar-BRT. Matatu industry is estimated to be worth $1.5 Billion dollars in Nairobi alone! That's why they are willing to be mafya-like to protect their bottom-line....
.
Na kama nilivyosema hapo awali, Serekali inatengeneza white paper itakayoelezea mipangilio ya ku shift to electric vehicle. Ikifika 2030 kuna uwezekano gari zote za abiria zitatakikana ziwe electric, diesel zitabaniwa kuingia barabarani, So wamiliki wa matatu hawana budi ila kuanza kujipanga mapema...

And BTW

Already kuna Taxi company ambayo ina operate exclusive electric vehicles in Nairobi

Kuna kampuni ambayo tayari imeshaanza ku market electric busses to the matatu industry , So this is not some wishful thinking, its already begining to happen!!!!

asiGo also disclosed that its buses will come in 25 and 36-seater capacities, with a range of about 250 kilometers, which it says is enough to cover daily round trips.
Owing to the high initial acquisition costs, BasiGo plans to introduce a financing model that will allow its customers to purchase its EV buses at the price of their diesel equivalents, while offsetting the balance through usage-based subscription fees. BasiGo says that they will begin the pilot program after the arrival of the first bus later in the year.

“The cost of electric bus technology has come down dramatically over the last 10 years, to the point where electric buses can offer significant savings compared to fossil-fuel buses. Our goal is to help bus owners in Kenya realize these savings, and in the process, help Kenya become a global leader in sustainable public transport,” said Bhattachary

Hizi electric busses zinafanyiwa testing sahii kwa barabara za nairobi, Hii kampuni ya BasiGo imeungana na sacco za matatu kufanya piloting ili kudhihirisha kweli kama hizi electric busses ni cheaper and more profitable ku operate kushinda diesel/petrol busses. Wakishaweza kuonyesha kwamba ni cheaper and more profitable basi project hii itangia phase 2 ambayo itakua ni mass production!!

1646496013106.png

1646496067155.png

1646496205542.png

1646496316104.png
 
Back
Top Bottom