Ripoti ya CAG, ufisadi kwenye ubalozi wa Sweden. Je, CAG ameamua kumchafua Dkt. Slaa?

Mtukudzi

Senior Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
103
Reaction score
408
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama wangekarabati nyumba zao za makazi.

My take: Njaa ni mbaya sana.
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…