Kipindi Wanafanya Ukarabati wangekuwa wamekaa wapi? Wao wawape fedha za Ukarabati, wakarabati basi.
Kupanga bado hakuepukiki Kama Makazi yanahitaji kukarabatiwa. Ukikarabati lazima upishe Ukarabati.
Kama nimepanga kutokana na ubovu wa miundombinu, na hujaniwezesha fedha za kukarabati hiyo miundombinu yenyewe nitapanga tu. We karabati, nikiendelea kupanga nilime hoja. Lakini bila kukarabati afu unanilima hoja, ni upishi wa hoja.
Hicho ni kiashiria Cha hoja, ambacho serikali inatakiwa kukiondoa kwa kutoa fedha za Ukarabati. Basi.
Labda ingekuw hivi, "Pamoja na Nchi yetu kutumia fedha kadhaa kukarabati nyumba za ubalozi wa Tanzania nchini A, B, C lakn bado Mabalozi katika nchi hizo wameendelea kuishi katika nyumba za kupanga. Jambo hilo limeiingizia serikali hasara ya kiasi Cha shilingi ......!". Hiyo ndo hoja.
Lakn Kama hoja iko Kama alivyoiwasilisha, inaibana Serikali na siyo Dr. Slaa!
Lugumya.
Sent using
Jamii Forums mobile app