Ripoti ya CAG, ufisadi kwenye ubalozi wa Sweden. Je, CAG ameamua kumchafua Dkt. Slaa?

Shetani hana rafiki , Dr Slaa tulimuonya sana lakini akatupuuza , atavuna alichopanda
Kwa hiyo Dr Slaa amezitia mfukoni kwake hizo pesa? CAG katoa ushauri wakarabati nyumba ili kupunguza gharama hajasema kuna mtu kafisadi pesa za serikali.
 
Waulize CHADEMA Kama bado wanapambana na ufisadi
Ulitaka wapambane vipi wakati bwana wako kahodhi bunge, kaua Uhuru wa habari na sasa vyombo vyote vya habari vipo mfukoni kwake.
Kila siku zinatungwa sheria za kukomoa na kuwashughurikia wanaoibua ufisadi.
Vita ya ufisadi inafanikiwa pale ambapo kuna bunge lenye meno, vyombo huru vya habari na mahakama huru.
 
Nyumbu bwana hata hii ni hoja ya kudandia
Ungekuwa na busara ungesubiri kamati ya bunge ipitue hizo queries na itow majibu kuliko kukurupuka kama unawashwa washwa, unamtuhumu mtu hata kamati hazijaidili ripoti.
 
Ulitaka wapambane vipi wakati bwana wako kahodhi bunge, kaua Uhuru wa habari na sasa vyombo vyote vya habari vipo mfukoni kwake.
Kila siku zinatungwa sheria za kukomoa na kuwashughurikia wanaoibua ufisadi.
Vita ya ufisadi inafanikiwa pale ambapo kuna bunge lenye meno, vyombo huru vya habari na mahakama huru.
Huyo unayemsema inaonekana alikuwa bwana wako Ila baada ya kuachika wivu umekujaa
 
Waulize CHADEMA Kama bado wanapambana na ufisadi
Acha propaganda. CHADEMA wanaweza kuleta sera mbadala, lakini mwenye uwezo na dhima ya kupambana na ufisadi ni chama kilichoko madarakani, ambacho kinashikilia vyombo vya dola kama TAKUKURU, DPP, Polisi na magereza na pia ndio kina dhamana ya kutumia fedha za kodi. Kwa kiwango ambacho serikali ya CCM inatumia dhamana hiyo, ndio tunaweza kupima wanapambana na ufisadi kwa kiwango gani. Kusema CHADEMA wanapambana vipi na ufisadi, tena katika mazingira ambayo hata ile silaha pekee waliyonayo ya kupiga kkelele, umedhibitiwa na serikali ya CCM, ni maneno yasiyokuwa na maana yoyote
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama wangekarabati nyumba zao za makazi.

My take: Njaa ni mbaya sana.
Dk Slaa amekua fisadi?
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Kama ulifanyika miaka ya nyuma basi ungekuwa kwenye ripoti za CAG Assad, na hii ripoti ungeeleza kwamba hili lilishaoneshwa huko nyuma lakini halijafanyiwa kazi.
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama wangekarabati nyumba zao za makazi.

My take: Njaa ni mbaya sana.

Waziri na katibu mkuu ambao ndiyo watoa pesa walikuwa wapi?
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Wewe ni wa kwanza kwa upumbavu, kisha tunafuata siye watz wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Waachie wenye uhakika ndio waongee, wakimbiza bk 7 mko wengi mno.
 
Kwa hiyo hii ni ripot ya miaka hiyo unayoitaja wewe?

Unafahamu hizi ripoti hutolewa kila mwaka?

Back
Top Bottom