donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda walitaka watupe mirabahaWanachunguza ili wajue nn sasa..?????
Au watutumie Royal Tour representatives
[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au watutumie Royal Tour representatives
Hapo ndio lazima ushangaeHawa jamaa hatari sana, kwenye world fact book wameandika tupo 62.1 million...wakati sisi wenyewe hatujui tupo wangap
Critical thinkingCIA wana operatives wao wengi sana hapa Tanzania.Na hata sasa hivi wanazidi kujaa.Kwa msio fahamu.Kutokana na teknolojia zilizopo na uwezo wao kuidentify mtu kwa kutumia TEHAMA yaani simu,computer na nawasiliano binafsi wanao uwezo wa kufanya Clandestine surveilance ya uhakika zaidi.
Teknolojia nyingi ambazo unaziona zinatumiwa na civilian au zinaigizwa kwenye movies zinazoitwa scientific fiction huwa unakuta tayari zimefanyiwa development katika Research facilities za Kijeshi.USA ni moja kati ya nchi zenye bajeti kubwa sana ya Jeshi na kiasi kikubwa kinaenda katika R & D.
Hata baadhi ya miradi mingi ya TEHAMA ambayo ina sura ya kibiashara mingi inakuwa backed up na JESHI kupitia kitengo cha UTAFITI kwa lengo la kuhakikisha kwamba wanakuwa ahead.Watu kama Elon Musk ambao ni matajiri wakubwa duniani au kina Bili Gates,Zuckerberg na wengine wengi huwa projects zao kwa ndani kabisa zinakuwa sponsored na Military.
Cha kujiuliza ni je Kwa sasa hivi ambapo hakuna classified documents ambazo zimekuwa released huko USA kupitia FIA hasa za CIA je tunawezaje kujua kuhusu Surveilance activities zao hapa nchini kwetu?Je tuna counter surveilance ya kutosha kuweza kudhibiti au kuelewa shughuli zao za kijasusi hapa nchini?Je miaka ijayo kutakapokuwa na classified information kuhusu nchi yetu ambazo zimekuwa released na hao CIA je unafikiri ni kwa kiasi gani baadhi ya mambo yanayofanyika sasa hivi ambayo hatuyaelewi yataeleweka na watu wa kizazi hicho?
Espionage to the high levelsMabosi wa Dunia Hawa.
Umeibua hoja ya msingi sana.CIA wana operatives wao wengi sana hapa Tanzania.Na hata sasa hivi wanazidi kujaa.Kwa msio fahamu.Kutokana na teknolojia zilizopo na uwezo wao kuidentify mtu kwa kutumia TEHAMA yaani simu,computer na nawasiliano binafsi wanao uwezo wa kufanya Clandestine surveilance ya uhakika zaidi.
Teknolojia nyingi ambazo unaziona zinatumiwa na civilian au zinaigizwa kwenye movies zinazoitwa scientific fiction huwa unakuta tayari zimefanyiwa development katika Research facilities za Kijeshi.USA ni moja kati ya nchi zenye bajeti kubwa sana ya Jeshi na kiasi kikubwa kinaenda katika R & D.
Hata baadhi ya miradi mingi ya TEHAMA ambayo ina sura ya kibiashara mingi inakuwa backed up na JESHI kupitia kitengo cha UTAFITI kwa lengo la kuhakikisha kwamba wanakuwa ahead.Watu kama Elon Musk ambao ni matajiri wakubwa duniani au kina Bili Gates,Zuckerberg na wengine wengi huwa projects zao kwa ndani kabisa zinakuwa sponsored na Military.
Cha kujiuliza ni je Kwa sasa hivi ambapo hakuna classified documents ambazo zimekuwa released huko USA kupitia FIA hasa za CIA je tunawezaje kujua kuhusu Surveilance activities zao hapa nchini kwetu?Je tuna counter surveilance ya kutosha kuweza kudhibiti au kuelewa shughuli zao za kijasusi hapa nchini?Je miaka ijayo kutakapokuwa na classified information kuhusu nchi yetu ambazo zimekuwa released na hao CIA je unafikiri ni kwa kiasi gani baadhi ya mambo yanayofanyika sasa hivi ambayo hatuyaelewi yataeleweka na watu wa kizazi hicho?
CIA Factbook ina data nyingi na nyepesi kuziona kuliko NBS yetuHawa jamaa hatari sana, kwenye world fact book wameandika tupo 62.1 million...wakati sisi wenyewe hatujui tupo wangap
Pengine na wao wanategemea hiyo hiyo...unakuta NBS nao wakiwa wanatengeneza yao, baadhi ya mambo wana C&PCIA Factbook ina data nyingi na nyepesi kuziona kuliko NBS yetu
Kwa data za Tanzania,wanatoa nbsCIA Factbook ina data nyingi na nyepesi kuziona kuliko NBS yetu
Acheni woga,maprofesa kibao wa kibongo walienda USA kufundishwa,kumbe walikua majasusi wa kgb ya urusiBalozi wa Marekani huyu Donald Wright aliwahi kuja Tanzania kujitolea bure miaka ya 1990. Hapo ujue moja kwa moja kuwa alikuwa kwenye special mission. Hawatumi balozi ovyo akifika aanze kushangaa, wanatuma mtu anayewajua. Unawaona madaktari wa kujitolea leo, miaka kumi baadae wanakuja ni diplomats
Siyo pengine,ndivyo ilivyoPengine na wao wanategemea hiyo hiyo...unakuta NBS nao wakiwa wanatengeneza yao, baadhi ya mambo wana C&P