Ripoti ya CIA ikiichunguza Tanzania miaka ya 1980s

Ndiyo maana tuna tiss na m.i,wao wanajua kazi hizo
 
Kuna mtu alinianbia ule mradi wa chai kule Njombe ambao unaitwa NORDIC kama sijakosea, ni CIA wako kazini hapa nchini. Wanapitisha wataalamu wao kupitia mradi wa chai.
 
CIA wamekuwa na kawaida ya kudisclose classified intels kila baada ya muda flani kuanzia miaka 10 na kuendelea baada ya kujiridhisha kuwa disclosure ya hizo info hazina tena impact katika jamii iliyokuwa imelengwa.
Vita baridi kati ya US na USSR na baadae Russia ilipelelea CIA kusambaza majasusi katika nchi nyingi zilizokuwa zikifuata mrengo wa itikadi za kijamaa (Russia's ideology) Tanzania ikiwa ni mojawapo kuangalia na kuchunguza influence na miradi iliyokuwa funded au kusimamiwa na Urusi na China kwaajili ya kuhakikisha hakuna muingiliano na kulinda interests za Marekani.
Kwahiyo sishangai kusikia CIA kutoa report ya kuichunguza Tanzania miaka ya 1980's
 
Duh hawa jamaa ukute ata ikulu yetu wanaijua kuliko ata wanaoishi mule
Sio hivyo tu, mpaka ratiba za mh. Rais za siku nzima na aina zote za wageni anaokutana nao kila siku. Mara nyingi hupandikiza watu katika vital organs za nchi ili kupata kila taarifa ambayo huchuja na kupata yenye manufaa kwao. Na hii haifanywi tu na CIA bali karibia na nchi zote za ulimwengu wa kwanza.
 
Hoja ya msingi kwa nn wazi release after a certain time???

Kwa nn wasikae nazo kimya ili tusijue .
 
Yawezekana waliowezesha info hizi kupatikana huko CIA utashangaa sana! Na yawezekana matendo yao ya sasa yanaashiria uwezekano wa waho kuhusika!
 
Hoja ya msingi kwa nn wazi release after a certain time???

Kwa nn wasikae nazo kimya ili tusijue .
Baada ya kujiridhisha kuwa hizo infos haziwezi kusababisha demage tena kwenye huzideclassify ili kuongeza awareness katika taasisi zao na kuruhusu watafiti mbalimbali kuziingiza kwenye historia kwaajili yakuongeza maarifa ya umma.
Wenzetu wana kitu kinachoitwa Automatic declassification of information chini ya wizara ya sheria (Depertment of Justice) inayompa uwezo agency head uwezo wa kurelease information that can no longer cause demage to the public inayoitwa "Exacutive Order 13526" under section 3.3(b).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…