Ripoti ya Jaji Chande juu ya mauji ya Oktoba 29 imeongeza chuki dhidi ya CCM na rais Samia maradufu

Ripoti ya Jaji Chande juu ya mauji ya Oktoba 29 imeongeza chuki dhidi ya CCM na rais Samia maradufu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Watu wamechukia sana kila kona na hata kila kitongoji cha taifa hili.

Watu walishuhudia kwa macho yao kuwa maandamnao yalikuwa ni kwa ajli ya kupinga ufisadi, utekaji na nepotism.

Leo inatoka ripoti ambayo imepikwa na mpishi ambae hata kupika hajui.

Watu wamechukia sana. Na huko mbeleni yatatokea kama yaliyotokea Tunisia.
 
CCM, chama changu, kinachojiita chama cha wananchi, hakijalaani mauaji ya Okt 29.
 
Back
Top Bottom