Ripoti ya Kamati ya Ushindi ya TFF

Ripoti ya Kamati ya Ushindi ya TFF

Mzingo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
4,729
Reaction score
10,500
Wakuu,itakumbukwa kuwa TFF iliunda kamati kwa ajili ya ushindi wa TFF

Mechi ya marudiano dhidi ya Algeria ikaahidi 500M kwa timu ikiwa ingeitoa Algeria.

Yaani mechi moja 500M. Ikumbukwe kuwa Tstars ingeitoa Algeria ,sio kwamba ndio Taifa stars ingekuwa

imefuzu,ingetakiwa iende kwenye kundi lenye Timu nne, ikizizidi na kuwa ya kwanza kundini ndio ingefuzu Russia 2018.

Hawa jamaa walikusanya hela kupitia SMS na vyanzo vingine, Ikumbukwe kuwa timu ya Taifa inadhaminiwa na Bia ya Kilimakyaro.

Ninawaomba kamati ya TFF watoe mrejesho wa kazi yao ikiwemo makusanyo,matumizi,na chenji.

Isijekuwa walikuwa wanaombea Tstars tupigwe(ila sio kwa goli nyingi vile) ili wazijigijie hizo hela.

(Na wao walikuwa wanaombea ifungwe ili wazitafune?)
 
No shida!
 

Attachments

  • IMG-20151118-WA0007.jpg
    IMG-20151118-WA0007.jpg
    134.8 KB · Views: 161
Hahahaaaaaa kwani si wamefuta matokeo? Au wameshayatangaza? Si kamati ilitangaza kuwa ni uzushi hatujafungwa??
 
Back
Top Bottom