Ripoti ya Kiintelijensia yasema kuwa Marekani Imerudisha Program ya Nyukilia ya Irani miezi mchache tu nyuma

Ripoti ya Kiintelijensia yasema kuwa Marekani Imerudisha Program ya Nyukilia ya Irani miezi mchache tu nyuma

Sifa nyingi kumbe Vibomu vyenyewe ni kama vibomu vya machozi tu, vimeshindwa kufanya uharibifu wowote.Mzigo tumeuzika mbali hule deep underground.
Kuna mtaalam wa Kizayuni humu alietuwekea picha ya Satalait na kutaka kutuaminisha kuwa Fordo imetitia kwa kuwango cha kuogopesha!.
Aje sasa atetee taaluma yake.
 
Taarifa ya vyombo vya Intelijensia vya Marekani imesema kuwa Shambulio la Marekani huko Fordow limerudisha mpango wa Iran wa Nyukilia miezi michache nyuma.
Imesema kuwa yale mabomu hayakupenya ipasvyo na kugusa chini kabisa ndani ya mlima

Taarifa zaidi unaweza kuipata hapa:
1750836083283.jpeg
 
Nilidhani bunker buster inaweza kutoboa mlima, kumbe hmna kitu inagusagusa tu.

Next time na sisi tukitaka kutengeza mradi wa Nuclear tuuchimbie chini ya Mlima Kilimanjaro tuone hawa jamaa watafanyajefanyaje yaani
 
Mmmh uchimbie chini ya block mountain kama Mountain Uluguru sio volcanic mountain.
 
Back
Top Bottom