Ripoti ya Moody: Tanzania ni salama kwa uwekezaji

Ripoti ya Moody: Tanzania ni salama kwa uwekezaji

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Taasisi ya Uwekezaji ya Kimarekani ya Moody's imeipa Tanzania tathmini chanya kiuchumi kutokana na sera bora za uwekezaji hususani baada ya kuboreshwa kwa mazingira ya sekta ya madini.

Ripoti ya Moody's inatuma ujumbe chanya kwa wawekezaji kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejikita katika uwazi, uwajibikaji na uboreshaji wa mazingira bora na salama kwa ajili ya uwekezaji na ufanyaji biashara.

Tanzania ina aina mbalimbali za madini, hivyo kupitia tathmini hiyo ya Moody's itafanya nchi kuwa kivutio cha wawekezaji wa madini.

Uchimbaji wa madini unachochea ukuaji wa uchumi, hutengeneza ajira, na kuendeleza miundombinu nchini.
 
Back
Top Bottom