Ripoti ya Polisi inapodanganya kuhusu sababu za kifo cha mahabusu

Ripoti ya Polisi inapodanganya kuhusu sababu za kifo cha mahabusu

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
3B095482-F52F-483A-8167-64F443B81327.jpeg
22265803-BC27-435C-ABB6-10F18480DA64.jpeg
 
Wanadhani wao ndo wanajua kila kila kitu. Sasa ona wanazidi kujiaibisha tu
 
Watu wanavyosema jeshi la polisi lifumuliwe liundwe upya wana maana sana ila ukifikiria juu juu unaweza usielewe ukubwa wa tatizo
 
Polisi wanatakiwa wajikomboe kwakuwa na watu wenye weledi ili waache kuona watanzania ni wa miaka ile ya zidumu fikra za mwenyekiti. Sasa hivi watu wamesoma na wanajua na wanaweza kutafuta kila kitu/ changamoto wanazokutana nazo
 
Mmmmm[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Piga kelele
Polisi ya Tanzania ni kituko kama sio maajabu ya dunia..

Hivi wanatuona watz wote ni form four Failures FFF
Tunasafari ndefu sana kama Taifa
 
😂😂 dah eti septicaemia kutokana na msongo wa mawazo
 
Back
Top Bottom