Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
inji hii sasa haina uelekeo kabisa, ukiangalia kushoto richmonduli, chadema wanatafunana wenyewe kwa wenyewe, ukiangalia nyuma cuf wamewa-disappoint wafuasi/wanachama wake bara + visiwani(muafaka with karume) ukiangalia mbele giza!!!
What next???
You were wrong buddy...!Duh! Jamani hii report ni soo! PM na Rostam sioni watapitia wapi....
sasa mpaka wanaojiita wapinzani ndio wamelala usingizi wa pono, hawa wengine sio ndio wanaanguka vitandani kwa ndoto?
Mkuu nitashukuru sana. Du signature yako inatisha. Nayakumbuka sana hayo maneno, natamani kuyarudia tena kwa kusikilizaNgoja tukuangalizie, kuta unasoma signature yangu hapa chini.
Mkuu nitashukuru sana. Du signature yako inatisha. Nayakumbuka sana hayo maneno, natamani kuyarudia tena kwa kusikiliza
View attachment 25118View attachment 25118
Soma ripoti bwana. Inawezekana nikawa nimeweka nakala nyingi kwani nilikuwa najifunza jinsi ya kutuma faili.
Mkuu nashukuru sanaView attachment 25118View attachment 25118
Soma ripoti bwana. Inawezekana nikawa nimeweka nakala nyingi kwani nilikuwa najifunza jinsi ya kutuma faili.
Mkuu thanx. Itabidi niende kwa wataalam si unajua knowledge yangu ni ile ya kusomea mezani kwangu? Thanx alotUkichukuwa hiyo PDF file na ku-upload kwenye software iitwayo ECHIFWITE v2.6 itabadilisha maandishi hayo na kuwa in form of audio. Wewe jukumu lako kuchagua kama unataka sauti ya kiume au kike kwa ajili ya output audio file.
Kazi kwako.
View attachment 25118View attachment 25118
Soma ripoti bwana. Inawezekana nikawa nimeweka nakala nyingi kwani nilikuwa najifunza jinsi ya kutuma faili.
Kwa kweli na wamiss Mama na Kuhani...say what again?