CHENGU MANURE
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 914
- 566
Aende mahakamani akafanye nini ilhali alishamtundika akiwa Bungeni? Au hujui kuwa Bunge ni mhimili mmoja kati ya ile mitatu ya dola? Kwikwikwikwikwikwiiiiiiii! Yaani tangu umekuwa BAVICHA hakika unachekesha sana. Huna hata chembe ya ufahamuMimi nilijua ameapa kwenda mahakamani, kumbe ni porojo za kisiasa tu?
Kaka Mandla Jr, huyo MUSSA ALLAN ndo huyo huyo MSALANI. Alibadili jina lake na kuachana na hilo ka Chooni
Uzuri UKAWA wanautambua mziki wa CCM!!! Basi tu, wanajifariji na Lowassa.
Kaka Mandla Jr, huyo MUSSA ALLAN ndo huyo huyo MSALANI. Alibadili jina lake na kuachana na hilo ka Chooni
Msisahau pia kutuambia kwa nini tokea tumtaje Kinana katibu wenu anamaliza tembo hamjamkamata kwanini ?kuhusu Richmond ni Kikwete hilo jibu rahisi tu!!
Harrison Mwakyembe aliapa kutafakari uwepo wake ndani ya CCM endapo Lowassa angeteuliwa na CCM kupeperusha bendera yake kwenye mbio za urais hapo Oktoba huku akisisitiza kuzunguka nchi nzima kumzuia kwenda ikulu. Tayari CCM imeteua timu ya Kampeni inayojumuisha watu 32 akiwemo Mwakyembe. Ikumbukwe Mwakyembe ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati iliyochunguza kampuni ya RICHMOND iliyopewa dhamana ya kufua umeme wa dharura. Kamati ile ilipelekea CC ya CCM kushinikiza Waziri Mkuu na Mawaziri Waandamizi wajiuzulu.
View attachment 278064
Kwikwikwikwikwiiiii! Lazima wakae chini mapema
Daaa itakuwa vizuri akamalizia na lile jina alilosema akilitaja ktk kashfa ya RICHMOND inchi itayumba. ..