Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Wale waliokuwa hawajaipata riport ya Richard wa Monduri isomeni na ikiwezekana muwe nayo.
N A W A S I L I S H A.
 

Attachments

Jk alitumia report hii kujivua Uanamtandao na kujiweka mbali nao wale walioamini wanaubia na Urais wake, baada ya Report hii alipata nguvu ya Urais maana Marais wenza Rostam na Lowassa walipewa jina baya tayari kurushiwa mawe n Raia.jk aliogopatechnique aliyotumia Paul Kagame kumsambaratisha Bizimungu aliekuwa Rais wakati Kagame akiwa Makamu mwenyenguvu kama ilivyokuwa Lowassa!
 
Tililikeni polepole lakini kwa uhakika maana nchi hii imeshaliwa kabisaaaaaaaaaaaaaa.
Tumebakiwa na makombo tu.
 
Kwani wewe ulikuwa wapi kuitafuta??????????
Tutaendelea kuitoa kila mara mpaka 2015.
 
Itatufaa kwa kumbukumbu za wajuuu wetu ingawa watatuuliza mlichukua hatua gani juu ya mafisadi hawa sijui nitwajibu nini..
 
Hebu someni hiyo report, word to word ndo mje humu, watu wameenda mpaka marekani kuangalia bango la richmond printing bila ajizi wakaweka hadharani non-existence ya richmond devp plc. wastaarabu hu argue kwa data through research sio unabebwa na kimbunga through politicised report.
 
Ukiisoma Taarifa hii ndio utaelewa kuwa tangu ukurasa wa kwanza mlengwa alikuwa Edward Lowassa, taarifa imejaa vijimaneno fulani fulani vya staili ya mwakyembe tena vya kishabiki shabiki, Eddo aliandaliwa zengwe na akatolewa sadaka, uisikae ukamwamini mswahili hata siku moja, ipo siku ukweli utawekwa wazi na jinsi JK na usalama walivyoshiriki kumkandamiza Eddo kwa msaada wa Sitta na Membe bila kumuacha muandaa mikakakati ya kiusalama Jack Zoka.
 
...jamani wengine tunatumia simu,ifanyieni maarifa hiyo ripoti tuweze nasisi kuipitia...
 
Wapenzi, hii nchi imekwisha. Hakuna kitu cha kujivunia Tanzania kwa sababu tunaongozwa na MAJUHA.
 
sasa wewe umeona lowassa ameanza kuisahau ndo unamkumbushia?au unataka kusema kuwa hela anazogawa makanisani ndio za richmond?
 
Back
Top Bottom