Ripoti ya siri ya kusikitisha shule ya sekondari Olasiti Arusha kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza"

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
Kwa hali hii lazima tusimame kidete,Siku ya leo ni mekutana na mwanafunzi jina nahifadhi kwa usalama wake,Mwanafunzi huyuo x,kanifuata akiniomba msaada wa kumchangia Malipo ya shule,Kaka shikamo nimechaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Olasiti jiji Arusha naomba unisaidie kaka, ,Inanilazimu kuichukuwa fomu yake ya kuchaguliwa kujiunga na shule na kuisoma ;
· Yaliyoko kwenye fomu; SHULE YA SEKONDARI OLASITI
SLP 14074
ARUSHA
TAREHE 02,01.2014
Kumb.Na/OSS/ENTRY/VOL.1/2014
Jina la Mwanafunzi ……X………….
SLP………….
YAH:MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI OLASITI WILAYA YA JIJI LA ARUSHA MWAKA 2014;
1.0 Ninafurahi kukuarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya hii mwaka 2014.shule ya sekondari Olasiti ipo umbali wa km 8 kusini magharibi mwa jiji la Arusha karibu na Shule ya msingi Olasiti.

Muhula wa kwanza wa masomo unaanza tarehe 06/01/2014 unatakiwa kuripoti shuleni kwanzia tarehe 06.01.2014 mwisho wa kuripoti ni tarehe 24/01/2014

2.0 MAAGIZO MUHIMU:
(1)Ada ya shule shilingi 20,000/=kwa mwaka.
(II)Chakula shilingi 80,000/=kwa mwaka.
(iii) Taaluma 20,000/=kwa mwaka
(iv)Ulinzi Wapishi,Karani,Wahudumu,shilingi 15,000/= kwa mwaka
(v)Tahadhari shilingi 10,000/= kwa mwaka
(vi)Kitambulisho shilingi 5000/ kwa mwaka
(vii)Nembo shilingi 2000/=kwa mwaka
(viii)Sare{suruali2,sketi2,mashati2,tai1,na sweta,1 shilingi 62,000/= kwa mwaka
(ix)Ukarabati shilingi 15,000/=
(x) Kiti+Meza shilingi 70,000=
(xi)Maabara shilingi 10,000/=
(xii)Vitabu shilingi 10,000/=
(xiii) Masomo ya ziada(Remedial) shilingi 50,000/=
(xiv) Ujenzi shilingi 50,000/=
(xv) Compyuta shilingi 6000/=
JUMLA KUU SHILINGI Tsh, 425,000/
NB: Muhula wa kwanza utalipa sh.340,000/= na Muhula wa pili shilingi sh.85,000/=
Mwanafunzi aliyekamisha malipo tu ndiye atakayepokelewa shuleni.
Malipo yote yafanyike benki ya NBM,jina la Akauti:Olasiti Sekondari,Namba ya akauti:40810001529(weke ada tu) na 40810001528(weka michango mingine)
'' PESA TASILIMU HAZITAPOKELEWA SHULENI"

2.1 VIFAA VINGINE MUHIMU
(i)Viatu vya ngozi jozi mbili visivyo na visigino virefu na view vya kufunga na kamba
(ii)Soksi nyeusi kwa wavulana na nyeupe kwa wasichana
(iii)Daftari(counter) kumi au zaidi
(iv)T-shirt,Bukta na raba kwa ajili ya michezo(Rengi mtepewa siku ya kuripoti)
(v)Bunda moja la karatasi A4
(VI)Begi la kubebea madaftari
(vii)Jembe,Slasha,ndoo,Skwiza,Fagio(soft broom1 na hard broom 1)
(viiii)Kalamu za wino,Penseli na mkebe wa Hisabati
(ix)Faili(flat file) rangi ya khaki
Paulina A.Bagoye
( Mkuu wa Shule )

Swali kwa kila mtanzania ,Mtoto wa mkulima,mchoma mahindi,msukuma mkokoteni,mchoma mihogo,Watasoma?
 
Mh... Na akimaliza ana div 5 yake...
 
alafu wanakuja punguani flani hivi waliopachikwa ubongo wa Tambwe Hizza na kuanza kutetea chama mfu kuwa kimeboresha maisha na kila mtoto sasa anasoma bure
Maggott!
 
Na hapo ndio unaambiwa shule ya kata ada ni TShs 20,000/= tu.

Haya ni majanga.

Chukua Chako Mapema
 
Imma Saro Kwanini kitambulisho ni TZS 50,000 na masomo ya Ziada (remedial) ni 50,000?
 
Last edited by a moderator:
Ada haifika hata laki tano kwa mwaka kwa secondary?. Mbona ni ndogo sana?. Ni sawa na kuchangia Sh. chini ya 30,000/= kwa mwezi. au sh. 1000 kwa siku.
 
Bado natafakari kwa nn kuwe na akaunti ya ada na akaunti ya michango!sidhani km kuna nia njema ktk hilo
 
Kwa hali hii lazima tusimame kidete,Siku ya leo ni mekutana na mwanafunzi jina nahifadhi kwa usalama wake,Mwanafunzi huyuo x,kanifuata akiniomba msaada wa kumchangia Malipo ya shule,Kaka shikamo nimechaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Olasiti jiji Arusha naomba unisaidie kaka, ,Inanilazimu kuichukuwa fomu yake ya kuchaguliwa kujiunga na shule na kuisoma ;
· Yaliyoko kwenye fomu; SHULE YA SEKONDARI OLASITI
SLP 14074
ARUSHA
TAREHE 02,01.2014
Kumb.Na/OSS/ENTRY/VOL.1/2014
Jina la Mwanafunzi ……X………….
SLP………….
YAH:MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI OLASITI WILAYA YA JIJI LA ARUSHA MWAKA 2014;
1.0 Ninafurahi kukuarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya hii mwaka 2014.shule ya sekondari Olasiti ipo umbali wa km 8 kusini magharibi mwa jiji la Arusha karibu na Shule ya msingi Olasiti.

Muhula wa kwanza wa masomo unaanza tarehe 06/01/2014 unatakiwa kuripoti shuleni kwanzia tarehe 06.01.2014 mwisho wa kuripoti ni tarehe 24/01/2014

2.0 MAAGIZO MUHIMU:
(1)Ada ya shule shilingi 20,000/=kwa mwaka.
(II)Chakula shilingi 80,000/=kwa mwaka.
(iii) Taaluma 20,000/=kwa mwaka
(iv)Ulinzi Wapishi,Karani,Wahudumu,shilingi 15,000/= kwa mwaka
(v)Tahadhari shilingi 10,000/= kwa mwaka
(vi)Kitambulisho shilingi 50,000/ kwa mwaka
(vii)Nembo shilingi 2000/=kwa mwaka
(viii)Sare{suruali2,sketi2,mashati2,tai1,na sweta,1 shilingi 62,000/= kwa mwaka
(ix)Ukarabati shilingi 15,000/=
(x) Kiti+Meza shilingi 70,000=
(xi)Maabara shilingi 10,000/=
(xii)Vitabu shilingi 10,000/=
(xiii) Masomo ya ziada(Remedial) shilingi 50,000/=
(xiv) Ujenzi shilingi 50,000/=
(xv) Compyuta shilingi 6000/=
JUMLA KUU SHILINGI Tsh, 425,000/
NB: Muhula wa kwanza utalipa sh.340,000/= na Muhula wa pili shilingi sh.85,000/=
Mwanafunzi aliyekamisha malipo tu ndiye atakayepokelewa shuleni.
Malipo yote yafanyike benki ya NBM,jina la Akauti:Olasiti Sekondari,Namba ya akauti:40810001529(weke ada tu) na 40810001528(weka michango mingine)
‘‘ PESA TASILIMU HAZITAPOKELEWA SHULENI”

2.1 VIFAA VINGINE MUHIMU
(i)Viatu vya ngozi jozi mbili visivyo na visigino virefu na view vya kufunga na kamba
(ii)Soksi nyeusi kwa wavulana na nyeupe kwa wasichana
(iii)Daftari(counter) kumi au zaidi
(iv)T-shirt,Bukta na raba kwa ajili ya michezo(Rengi mtepewa siku ya kuripoti)
(v)Bunda moja la karatasi A4
(VI)Begi la kubebea madaftari
(vii)Jembe,Slasha,ndoo,Skwiza,Fagio(soft broom1 na hard broom 1)
(viiii)Kalamu za wino,Penseli na mkebe wa Hisabati
(ix)Faili(flat file) rangi ya khaki
Paulina A.Bagoye
( Mkuu wa Shule )

Swali kwa kila mtanzania ,Mtoto wa mkulima,mchoma mahindi,msukuma mkokoteni,mchoma mihogo,Watasoma?

Kwa kweli hii ni shule ya private na sio government tena
 
Kila mmoja anakula anapopafikia, kama Kinana amepiga kambi mbugani nao wakuu wa shule hawana budi kunyonya wanafunzi na familia zao.
 
Inasikitisha kwakweli na utawala huu wakunyonyo wananchi!
 
Ha ha ha ha apo kene Weka ada tu!!! Njaa na hii weka michango tu!!! Ha ha ha ha Tz noma
 
:A S-devil4:Unasali lile KANISA la watu wasiopenda kwenda Hospitalini, ila Mochwari wanapelekwa???:A S-devil4:

Back
Top Bottom