Hawa ni chadema ndio wamesababisha
Shule ya kulala haina hizo garama iweje shule ya kata ya kutwa iwe na garama kubwa kuliko ya kulala? Usijadili kwa ushabiki hata kidogo tuweke uzalendo wa taifa kwanza;
Kwa hali hii lazima tusimame kidete,Siku ya leo ni mekutana na mwanafunzi jina nahifadhi kwa usalama wake,Mwanafunzi huyuo x,kanifuata akiniomba msaada wa kumchangia Malipo ya shule,Kaka shikamo nimechaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Olasiti jiji Arusha naomba unisaidie kaka, ,Inanilazimu kuichukuwa fomu yake ya kuchaguliwa kujiunga na shule na kuisoma ;
· Yaliyoko kwenye fomu; SHULE YA SEKONDARI OLASITI
SLP 14074
ARUSHA
TAREHE 02,01.2014
Kumb.Na/OSS/ENTRY/VOL.1/2014
Jina la Mwanafunzi X .
SLP .
YAH:MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI OLASITI WILAYA YA JIJI LA ARUSHA MWAKA 2014;
1.0 Ninafurahi kukuarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya hii mwaka 2014.shule ya sekondari Olasiti ipo umbali wa km 8 kusini magharibi mwa jiji la Arusha karibu na Shule ya msingi Olasiti.
Muhula wa kwanza wa masomo unaanza tarehe 06/01/2014 unatakiwa kuripoti shuleni kwanzia tarehe 06.01.2014 mwisho wa kuripoti ni tarehe 24/01/2014
2.0 MAAGIZO MUHIMU:
(1)Ada ya shule shilingi 20,000/=kwa mwaka.
(II)Chakula shilingi 80,000/=kwa mwaka.
(iii) Taaluma 20,000/=kwa mwaka
(iv)Ulinzi Wapishi,Karani,Wahudumu,shilingi 15,000/= kwa mwaka
(v)Tahadhari shilingi 10,000/= kwa mwaka
(vi)Kitambulisho shilingi 5000/ kwa mwaka
(vii)Nembo shilingi 2000/=kwa mwaka
(viii)Sare{suruali2,sketi2,mashati2,tai1,na sweta,1 shilingi 62,000/= kwa mwaka
(ix)Ukarabati shilingi 15,000/=
(x) Kiti+Meza shilingi 70,000=
(xi)Maabara shilingi 10,000/=
(xii)Vitabu shilingi 10,000/=
(xiii) Masomo ya ziada(Remedial) shilingi 50,000/=
(xiv) Ujenzi shilingi 50,000/=
(xv) Compyuta shilingi 6000/=
JUMLA KUU SHILINGI Tsh, 425,000/
NB: Muhula wa kwanza utalipa sh.340,000/= na Muhula wa pili shilingi sh.85,000/=
Mwanafunzi aliyekamisha malipo tu ndiye atakayepokelewa shuleni.
Malipo yote yafanyike benki ya NBM,jina la Akauti:Olasiti Sekondari,Namba ya akauti:40810001529(weke ada tu) na 40810001528(weka michango mingine)
PESA TASILIMU HAZITAPOKELEWA SHULENI
2.1 VIFAA VINGINE MUHIMU
(i)Viatu vya ngozi jozi mbili visivyo na visigino virefu na view vya kufunga na kamba
(ii)Soksi nyeusi kwa wavulana na nyeupe kwa wasichana
(iii)Daftari(counter) kumi au zaidi
(iv)T-shirt,Bukta na raba kwa ajili ya michezo(Rengi mtepewa siku ya kuripoti)
(v)Bunda moja la karatasi A4
(VI)Begi la kubebea madaftari
(vii)Jembe,Slasha,ndoo,Skwiza,Fagio(soft broom1 na hard broom 1)
(viiii)Kalamu za wino,Penseli na mkebe wa Hisabati
(ix)Faili(flat file) rangi ya khaki
Paulina A.Bagoye
( Mkuu wa Shule )
Swali kwa kila mtanzania ,Mtoto wa mkulima,mchoma mahindi,msukuma mkokoteni,mchoma mihogo,Watasoma?
Ada haifika hata laki tano kwa mwaka kwa secondary?. Mbona ni ndogo sana?. Ni sawa na kuchangia Sh. chini ya 30,000/= kwa mwezi. au sh. 1000 kwa siku.
VIFAA VINGINE MUHIMU
(i)Viatu vya ngozi jozi mbili visivyo na visigino virefu na view vya kufunga na kamba
(ii)Soksi nyeusi kwa wavulana na nyeupe kwa wasichana
(iii)Daftari(counter) kumi au zaidi
(iv)T-shirt,Bukta na raba kwa ajili ya michezo(Rengi mtepewa siku ya kuripoti)
(v)Bunda moja la karatasi A4
(VI)Begi la kubebea madaftari
(vii)Jembe,Slasha,ndoo,Skwiza, Fagio(soft broom1 na hard broom 1)
(viiii)Kalamu za wino,Penseli na mkebe wa Hisabati
(ix)Faili(flat file) rangi ya khaki
Hivi vyote mwanafunzi anapaswa anunuwe tofauti na shilingi 425,000/= anazolipa jumlisha mwenye utapa jumla,kisha jiulize ndio maisha bora;
elimu ni gharama kaka..hiyo haijafika hata laki 5..kuna wanaolipa million 2 na kuendelea.
aise hapa bora aende shule ya private kabisa sijaona tofauti hata chembe, sasa hapo kwenye njano kuna tofauti gani kati ya ujenzi na ukarabati, yaani wizi mtupu, hii inatia hasira sana yaani nasikia hadi hasira sana. Bora private unalipa hela nyingi but you get the bestKwa hali hii lazima tusimame kidete,Siku ya leo ni mekutana na mwanafunzi jina nahifadhi kwa usalama wake,Mwanafunzi huyuo x,kanifuata akiniomba msaada wa kumchangia Malipo ya shule,Kaka shikamo nimechaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Olasiti jiji Arusha naomba unisaidie kaka, ,Inanilazimu kuichukuwa fomu yake ya kuchaguliwa kujiunga na shule na kuisoma ;
· Yaliyoko kwenye fomu; SHULE YA SEKONDARI OLASITI
SLP 14074
ARUSHA
TAREHE 02,01.2014
Kumb.Na/OSS/ENTRY/VOL.1/2014
Jina la Mwanafunzi X .
SLP .
YAH:MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI OLASITI WILAYA YA JIJI LA ARUSHA MWAKA 2014;
1.0 Ninafurahi kukuarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya hii mwaka 2014.shule ya sekondari Olasiti ipo umbali wa km 8 kusini magharibi mwa jiji la Arusha karibu na Shule ya msingi Olasiti.
Muhula wa kwanza wa masomo unaanza tarehe 06/01/2014 unatakiwa kuripoti shuleni kwanzia tarehe 06.01.2014 mwisho wa kuripoti ni tarehe 24/01/2014
2.0 MAAGIZO MUHIMU:
(1)Ada ya shule shilingi 20,000/=kwa mwaka.
(II)Chakula shilingi 80,000/=kwa mwaka.
(iii) Taaluma 20,000/=kwa mwaka
(iv)Ulinzi Wapishi,Karani,Wahudumu,shilingi 15,000/= kwa mwaka
(v)Tahadhari shilingi 10,000/= kwa mwaka
(vi)Kitambulisho shilingi 5000/ kwa mwaka
(vii)Nembo shilingi 2000/=kwa mwaka
(viii)Sare{suruali2,sketi2,mashati2,tai1,na sweta,1 shilingi 62,000/= kwa mwaka
(ix)Ukarabati shilingi 15,000/=
(x) Kiti+Meza shilingi 70,000=
(xi)Maabara shilingi 10,000/=
(xii)Vitabu shilingi 10,000/=
(xiii) Masomo ya ziada(Remedial) shilingi 50,000/=
(xi v) Ujenzi shilingi 50,000/=