Ripoti ya siri ya kusikitisha shule ya sekondari Olasiti Arusha kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza"

ni bora watuchangishe hela nyingi hivyo na tuone mabadiliko dhahiri, lakini hakuna cha ujenzi, chakula kibovu yaani ni business oriented kabisa!!!!!!
 
Hapa ndipo unapo weza kupima uwezo wa serekali'
 
cha ajabu angekupa kadi ya harusi, send off au kitchen party ungechanga na usingelileta hapa
 
Kitambulisho 5000/= kwa mwaka!
inamaana kila mwaka wanapewa vitambulisho?au imma saro mkono umeteleza?
 
Hi serikali ya ajabu sana,Wakuu wa shule wanajifanya Miungu watu.Na hawachukuliwi hatua yeyote.
Kuna Mkuu wa shule Kaloleni anasinzia sana,anaongea na mzazi utafikiri anaongea na mbwa.Sijui Mmasai wa wapi huyo.
Viongozi wa Elimu mnachukua hatua gani kushugulikia malalamiko wa wananchi?
 

Anaitwa Munga huyu mzee ni mkorofi sana hata kwa waalimu wake wanamtetemekea kama waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…