Ripoti ya Tume: Hofu Yatumiwa Kunyamazisha Wananchi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Ripoti ya Tume ilifichua kwamba wanaharakati waliunda mfumo wa kutoa hofu kwa Watanzania wa kawaida waliotaka kupinga ghasia. Kuzuia wananchi wa kawaida wasimame kupinga uchochezi ni kuharibu nguvu ya msingi ya kidemokrasia ya taifa, ni kuua sauti ya wengi ili kutawala kwa nguvu za wachache wenye nia mbaya na roho za udhalimu dhidi ya taifa lao. #WasalitiWaTaifa
#TumeYaUchunguziReport
Ukweli Umebainika
 
na katika muda usiokua mrefu ujao, watabainishwa na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria za nchi bila mbambamba yoyote,

ni suala la muda tu,
lazima wawe na adabu 🐒
 
Nani Aliuwa watanzania
 

Hakuna mwenye akili timamu wa kuzingatia maandiko ya mwendawazimu muuaji wa Watanzania, kama wewe. Cursed you a friend of satan, and your descendants.
 
Kuna mambo yalitokea hata haina haja ya kuwapopoa wanaharakati. Wanaharakati mnawaangushia jumba bovu bure. Reaction ya wananchi juu ya mambo ya hovyo yanayotendwa na regime haina msukumo wa wanaharakati, wanaharakati wao ni bendera fuata upepo, wanaenda na upepo wa wananchi. Wananchi hawataki ukandamizwaji kwenye mambo ya uchaguzi, wanataka haki, waone haki ikitendeka katika chaguzi
 
H
iyo tume ilishapoteza sifa za kujadiliwa
 
Wasichokijua Kila mtu ni mwana harakati kwenye eneo lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…