Jason Bourne
JF-Expert Member
- May 11, 2011
- 200
- 438
Apollo gafaranga ndiye aliyetekeleza mauaji ya patrick karegeya huko joburg..huyu apollo ni mmoja wa wafanya biashara wakubwa hapo rwanda akiwa na sophisticated thietre maeneo ya nyamirambo ambapo sasa ni maarufu kwa jina la cine star cinema
ujenzi wa kituo hicho uligharim dola million moja na siku ya ufunguzi mwaka 2009 aliyefungua ni bwana paul kagame mwenyewe
nyuma ya paziwa bwana apollo gafaranga alikuwa trained spy na pia assassin wa hali ya juu sana na wakati huyu patrick karegeya akiwa masterspy miaka hiyo huyu gafaranga alikuwa ni mmoja wa ma infomer wake.
baada ya patrick karegeya kukimbia na kwenda kuishi uhamishoni nchini A.kusin, kule rwanda kuna kikundi kilichoundwa na bwana kagame kijulikanacho kama escadron de la mort huyu apollo gafaranga laikuwa ni mmoja wa wana kikundi hao ambapo lengo kubwa la kikundi hiki ni kutafuta wale wote walio kinyume na utawala wa rwanda na kuwamaliza.
baada ya kuingizwa katika kikundi hiki bwanda gafaranga alipewa mafunzo ya hali ya juu ya namna ya kutekelekza mauaji bila kujulikana na target yake kuwa ilikuwa ni huyu karegeya .
baada ya mafunzo kukamilika na biashara hiyo kuwa imefunguliwa kama cover story machoni pa macho ya watu wa kawaida. mwaka 2010 bwana gafaranga alianza urafiki na bwana karegeya huku akijifanya kuwa ni mmoja wa watu waliokuwa wakiupinga utawala wa kagame nchini rwanda. gafaranga alianza kumtembelea karegeya huko south africa na pia alishiriki kwa kikamilifu katika mikutano ya RNC ,chama ambacho mpaka leo kinapanga kuuangusha utawala wa kagame huko rwanda.
mara zote aliposafiri kwenda A.kusini kwa bwana karegeya huyu gafaranga alikuwa hatokei moja kwa moja nchini rwanda na pia mara zote amekuwa akitumia passport na document fake kwenda huko africa ya kusini. mwaka 2012 december ni huyu huyu bwana gafaranga alimshauri karegeya kuacha kutumia walinzi aliokuwa amepewa na serikali ya africa ya kusini chini ya wamvuli kuwa wanaweza kununulika na akauawa na hivyo bwana karegeya alikubaliana na ushauri huo nakwenda katika mamlaka za SA na kutoa ombi lake hilo akisema sasa yuko makini na kila safari anayofanya ndani ya nchi hiyo na hivyo haitaji walinzi mamlaka ya SA iliwaondoa walinzi.
mwezi wa wa nane mwaka jana bwana apollo gafaranga alimpigia simu karegeya na kumwambia kuwa serikali ya rwanda inamtishia uhai wake na tayati imefunga biashara zake hivyo anamuomba patrick karegeya amtengenezee mazingira ili nae akimbilie huko africka ya kusini na kuanza biashara huko mda wote huo karegeya hakujua kuwa huyu bwana ana mission nyingine kabisa toka mwanzo wa urafiki wao
karegeya alianza maandalizi ya kumuandalia makazi bwana gafaranga na tarehe 28 december bwana garafaranga aliwasiliana tena na kargeya na kuwambia kuwa amtafutie chumba katika hoteli na safari hii asingependa kufikia nyumbani kwa kargeya asije akahatarisha usalama wake maana nae anafatiliwa na serikali ya rwanda kwa hiyo anapenda kufikia hotelini ambako atakuwa salama zaidi.
karegeya alikod chumba namba 905 katika hotel ya sandton hapo joburg na tarehe 29 bwana gafaranga akafika SA na ni karegeya aliyempokea kwenye uwanja wa oliver tambo na kuelekea moja kwa moja hotelin amabako karegeya alimuacha mgeni wake kwa makubaliano kuwa wakutane tarehe 31 ili kuendelea na mipango yao ya namna ya kuiangusha serikali ya kagame lakini pia namna anavyoweza kuanzisha makazi yake na biashar zake huko africa ya kusini maana serikali ya rwanda inamtishia maisha.
tarehe 31 karegeya akaenda moja kwa moja katika hotel hiyo kumuona mshirika wake na rafiki yake na alipofika na kuingia ndani karegeya alifunga mlango na kuweka alama inayoonyesha do not disturb pale mlangoni..
wakati karegeya anaiangia ndani ya chumba cha hotel ile mle ndan ya chumba palikuwa na jumla ya watu watatu maana yake kuna wawili waliongezeka na wote hawa wanatoka kwenye kikosi kazi cha escadron de la mort hawa wawili walikuwa wamejificha bafuni wakati karegeya akiingia
walimnyonga na kumpiga risasi bwana karegeya na walipohakikisha amekufa wakaubeba mwili na kuuweka kitandani na kuufunika shuka kuanzia shingoni hadi miguuni
baadaya mauaji hayo escadron de la mort waliondoka pasipo kujulikana na kutokomea nje ya south africa wakipitia mozambique
huo ndo ukawamwisho wa patrick karegeya
Hutaki, Unaacha!
kabla ya mtu kulikuwa na mtu na baada ya mtu kuna mtu