jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,404
- 4,973
Naomba nikuulize; adhabu ya kosa la uhaini ni nini hapa Tanzania na duniani kote? let's not be naive.
Adhabu inatolewa baada ya mtu kuhukumiwa na competent court, sio kuhukumiwa na mwenyekiti wa chama tawala! In case of Rwanda it seems kila anayegombana na Kagame anageuka 'haini' instantly.