Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

Amesema "Mojawapo ya Mashine za kupima sampuli za Covid-19 ilikua na hitilafu bila Uongozi wa Maabara kuchukua hatua za kuifanyia matengenezo kwa wakati"
😂😂 Kwahiyo vipimo vilivyopatikana katika zile sampuli za mafenesi, mbuzi na papai sio za kweli?? Kumbe inawezekana hata waliopona hawajapona??
 
Hatukutegemea majibu tofauti na haya , mnataka ku-justify kusimamishwa kwa mrembo dkt Moremi, haya mfukuzeni kazi leo hii aende akuze matembele kama mbunge LIJULIKALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…