Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapicha?Mrisho Mpoto alianguka jukwaani maeneo ya Milocheni kwenye zile kampeni zenu yupo ICU Kairuki anapumulia mtungi, nimetoka hapo kumuangalia kwa mbali. Nimeambiwa alibanwa kifua ndipo akaanguka.
Waliambiwa waendelee kujikingaNimepata taarifa kuwa jiji la Dar limeshambuliwa sana na Corona baada ya watu kupuuzia hatua za kujikinga. Mambo yamevurugika kabisa.
😂😂 Kwahiyo vipimo vilivyopatikana katika zile sampuli za mafenesi, mbuzi na papai sio za kweli?? Kumbe inawezekana hata waliopona hawajapona??Amesema "Mojawapo ya Mashine za kupima sampuli za Covid-19 ilikua na hitilafu bila Uongozi wa Maabara kuchukua hatua za kuifanyia matengenezo kwa wakati"
Hiyo ipo kama koona ataamua tena kurudi kuitembelea Tz.mkuu kwani corona bado ipo ?
Watapangiwa majukumu mengine, mavi yao hayawezi kunuka as long as wakiendelee kuunga mkono juhudi
Kuna huo uwezekano maana watu wamejiachia siyo mchezo. Kariakoo nyomi kama kawaida, yaani......!!!Nimepata taarifa kuwa jiji la Dar limeshambuliwa sana na Corona baada ya watu kupuuzia hatua za kujikinga. Mambo yamevurugika kabisa.
Hizo ni za kuzuia vumbi tu, koona kwisha habari yake. Kwani kesho wapi bwaashee!!Ukiona barakoa ujue bado ipo bwashee!
Hiyo sahau, hata Kenya wameambiwa waseme madereva wa nchi jirani, wasitaje nchi.Waanze sasa na kutupa Updates za huo ugonjwa ili tuendelee kwa nguvu zote kujikinga badala tu ya kutuambia tupige kelele kwa kisingizio eti hiyo Corona imekwiisha.
Maabara