Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 224
- 246
Ndio maana Pro. alijitoaWatu wanajua kucheza na akili za watu kinoma
Safi Sana Kitu kimetoka Kichwan kikadondoka began
Sent by IPhone
Swali lake ni, kwanini maabara ya Taifa ijengwe Dar es Salaam na sio Dodoma ambapo ndio Makao Makuu ya Nchi yetu? Ukumbukwe tu kwamba, hiyo sio maabara iliyoandaliwa mahususi kwa ajili ya kupima madereva wa magari ya masafa marefu tu, bali ni maabara ya Taifa kwa wanachi wa wote kutoka mikoa yote, na kwa ajili ya magonjwa mengine pia (sio korona tu).magari yaliyo mengi yanayoenda nchi za jirani yanaanzia dar kwa kuwa bandari ndo ipo hapo.
pia hata magari yanayoanzia mikoa tofauti na dar itawalazimu madereva waende kupata vipimo dar kisha waendelee na safari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu Dar siyo Dodoma.Kwann Dar na sio Dodoma??
Km vile tunahama km vle hatutaki najiuliza sana kwanini vtu viwe dara tu km kweli wanahamaKwann Dar na sio Dodoma??
hii ni maabara ya afya ya jamii ya taifa.Swali lake ni, kwanini maabara ya Taifa ijengwe Dar es Salaam na sio Dodoma ambapo ndio Makao Makuu ya Nchi yetu? Ukumbukwe tu kwamba, hiyo sio maabara iliyoandaliwa mahususi kwa ajili ya kupima madereva wa magari ya masafa marefu tu, bali ni maabara ya Taifa kwa wanachi wa wote kutoka mikoa yote, na kwa ajili ya magonjwa mengine pia (sio korona tu).
Hata wakiwafukuza watakuwa wamewaonea tu,Mashine ndizo zilizokuwa na matatizo
Nimepata taarifa kuwa jiji la Dar limeshambuliwa sana na Corona baada ya watu kupuuzia hatua za kujikinga. Mambo yamevurugika kabisa.
Ulitaka asivae ??1954 leo ummy mwalimu mbona kavaa barakoa au amesahau kujifukiza? 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 leo unaongea lugha nyingine kabisaUlitaka asivae ??
Fafanua?🤣🤣🤣 leo unaongea lugha nyingine kabisa