Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

magari yaliyo mengi yanayoenda nchi za jirani yanaanzia dar kwa kuwa bandari ndo ipo hapo.
pia hata magari yanayoanzia mikoa tofauti na dar itawalazimu madereva waende kupata vipimo dar kisha waendelee na safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lake ni, kwanini maabara ya Taifa ijengwe Dar es Salaam na sio Dodoma ambapo ndio Makao Makuu ya Nchi yetu? Ukumbukwe tu kwamba, hiyo sio maabara iliyoandaliwa mahususi kwa ajili ya kupima madereva wa magari ya masafa marefu tu, bali ni maabara ya Taifa kwa wanachi wa wote kutoka mikoa yote, na kwa ajili ya magonjwa mengine pia (sio korona tu).
 
hii ni maabara ya afya ya jamii ya taifa.
wakati ummy mwalim anaongea walikowepo waandishi wa habari na ni swali la msingi ambalo wangeweza kuhoji ukapata majibu.
waziri ummy amewahakikishia madereva majibu ya vipimo vya covid 19 vitapatika ndani ya 24 hrs.hapo target ni corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna cha maana kwenye hii ripoti kinachoeleze chanzo cha mapapai, mbuzi, nk kukutwa na corona kama walivyodai

Vifaa kuwa na hitilafu ni jambo la kawaida hivyo tunahitaji ufafanuzi zaidi.
 
Mkuu Influenza yaani report imebaini hicho tu? Mbona maelezo ni mafupi mno? Hakudadavua zaidi? Ilikuwaje papai likawa na corona, kware je? Hayo yooote hajayasema?
 
Mkuu hii taarifa yako umeikopi wapi, maana watu wanajua kesho ni kubinjuka sasa unaleta taarifa hii ili iweje?
Nimepata taarifa kuwa jiji la Dar limeshambuliwa sana na Corona baada ya watu kupuuzia hatua za kujikinga. Mambo yamevurugika kabisa.
 
Back
Top Bottom