Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

Safi watanzania tunawamini na tuko begakwabega nanyi

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Ummy Mwalimu mbona ukiwa kwenye mikusanyiko ya Ikulu huvai barakoa ila ukitoka nje kwenye public unavaa?
Mkulu hataki hayo mananii ya kufunika pua na mdomo. Hukumbuki hotuba yake kanisani Chato. Waumini wote na mchungaji walikuwa hawajavaa barakoa, Jiwe akasema, nyie nawasifu hamna hofu na ndiyo maana hamjavaa yale mananii ya kufunika pua na mdomo. Wakati anawaapisha mabalozi pia hakuna aliyevaa hayo mananii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magari yaliyo mengi yanayoenda nchi za jirani yanaanzia dar kwa kuwa bandari ndo ipo hapo.
pia hata magari yanayoanzia mikoa tofauti na dar itawalazimu madereva waende kupata vipimo dar kisha waendelee na safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo vipimo ni kwa madereva tu mkuu? lengo ni kutimiza matakwa ya nchi jirani bila shaka maana raia wote tupo kwenye risk ya maambukizi pia (nawaza kwa sauti sio kama napinga hoja yako)
 
Tunataka kujua kwanini machine au systemnnzima ilitoa majibu ya mapapai kuwa +v etc. Ndiyo basic argument yetu! Haya ya maabara mpya achana nayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunategemea kuanzia kesho tutapewa takwimu za wamepimwa wangapi regardless majibu yao yametokaje.
 
Kwahiyo vipimo ni kwa madereva tu mkuu? lengo ni kutimiza matakwa ya nchi jirani bila shaka maana raia wote tupo kwenye risk ya maambukizi pia (nawaza kwa sauti sio kama napinga hoja yako)
vipimo sio kwa madereva pekee.kila mkoa kuna vituo ambavyo vinaratibu haya mambo.ukihisi una corona unasogea kituo kilichopo kwenye mkoa wako

nchi jirani zilikuwa zinafanya hujma kwa tanzania vita ya kiuchumi.kila dereva ana corona ila wao wanapita tu kuja kwetu.
sasa tunawapima madereva wetu kisha tunawapa cheti cha vipimo kisha wakifika boder wanaonyesha cheti kuwa wapo salama wanavuka,sasa ole wake wawasumbue hatutakuwa tena na msalia mtume wala kwa jina la yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chonde chonde subirin juma pili yetu ipite kwanza...
 
magari yaliyo mengi yanayoenda nchi za jirani yanaanzia dar kwa kuwa bandari ndo ipo hapo.
pia hata magari yanayoanzia mikoa tofauti na dar itawalazimu madereva waende kupata vipimo dar kisha waendelee na safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
wacha kupotosha si maabara ya Dar tu ndo inaweza kupima! Muache upuuzi wa kujiandikia wakati maelezo yapo online KCMC pia Mount Meru hospital watapima!
 
Back
Top Bottom